Aviaf30
Member
- Aug 7, 2019
- 36
- 47
Kwa tuliokua Teens miaka ya 1990, Koffi Olomide alikua ni mwanamuziki ambaye tumesikiliza na kucheza sana nyimbo zake. Binafsi, album yake ya V12, yenye nyimbo kama Andrada, Bambino, Aspirine, Zokere n.k hadi leo nakua nazihusudu. Sahau kuhusu album ya Ultimatum, yenye nyimbo kama Loi, Papa Rosi, Mbirime n.k.
Hadi leo, koffi bado anasumbua kizazi cha 5 cha Rhumba na sebene. Moja ya sababu ya kuwapiku wenzie kama marehem Papa Wemba, Redy amis, ni kuwa na wanamuziki damu mpya. Cindy Le couere, ni mmoja wao.
Kwa sasa Mopao anatarajia kutoa album yake baada ya ile ya 13 Aposte (Mwanafunzi wa 13 wa yesu) yenye nyimbo kama Selfie, Nyataquance; iitwayo Legende.
Hii ni nyimbo mpya, masaa mawili takribani toka itoke. Ameimba Cindy yote na ni Remix ya Elegance.