Wimbo mpya wa clouds fm

Unuq

New Member
Mar 17, 2018
1
1
Mambo niaje wadau,

kuna wimbo mpya wa clouds unatumika tumika sana katika vipindi vyao, naweza kuupata jamani
 
Wakuu hakuna aliyekapata haka ka wimbo?

Nioneshe ishara...ntakufutilia, nitume kokote ....sjui niagize chochote ntakuwasilishia

Kawimbo kazuri sana haka, kongole kwa siiemjii mob
 
Nikufundishe ujanja ninaoutumia kupata hizo jingle tamu za clouds.

Fanya hivi meena ally anavyomalizia amplifaya 21:00 hapo ndio hiyo jingle itaaza irekodi.
Hii jingle hupigwa kila baada ya saa .
 
Nikufundishe ujanja ninaoutumia kupata hizo jingle tamu za clouds.

Fanya hivi meena ally anavyomalizia amplifaya 21:00 hapo ndio hiyo jingle itaaza irekodi.
Hii jingle hupigwa kila baada ya saa .

Pamoja mkuu Da Killer
 
Wakuu hakuna aliyekapata haka ka wimbo?

Nioneshe ishara...ntakufutilia, nitume kokote ....sjui niagize chochote ntakuwasilishia

Kawimbo kazuri sana haka, kongole kwa siiemjii mob
Hello dear, hivi hii Jingle ya clouds ulifanikiwa kuipata? Kama unayo naihitaji tafadhali. 🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom