Wimbo: Kosa la marehemu

Wimbo: Kosa la marehemu

supadaudi

Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
86
Reaction score
65
mwenye mp3 original version ya Uswahilini matola Kosa la marehemu aipandishe hapa
 
Cheka cheka na mademu utacheka na kaburi

Kosa la marehemu kakaaaa
HAKUVA CONDOM
 
Mi mwenzenu ukimwi nauogopa bora nitafute mwali,nimatafute wa makamu na twende hospitali,tukamuone daktari au kijana mshauri,sio kwamba akatutibu bali atupe ushauri

Najua ukiupata we ni kwako,nyumbani kwako we na mke wako,shauri yako..na hata ukilia nani atasikia..kuna kundi la vijana wengiwengi watakuja kukutizama,wakikusabai amka ule mayai uendelee kuwa hai,japo mwanzo walikwambia unakokwenda siko huko..hii ndo bongo,kuna machangu wazuri weupe kama wazungu,kazi yao kuleta machungu,lakini yote haya yana Mungu

Cheki sasa ulivyo mweusi kuliko chungu,hakuna la kusubiri zaidi ya kaburi,nyumba ya halali iliyosheheni wenye viburi.
Ungelikuwa mwangalifu mwaminifu wote tungekusifu,ila kwa sasa mgeni wa yesu,bila kusita ukavunja amri ya sita,umebaki kujutajuta,majuto mjukuu hakuna unafuu,yamekukuta makuu,ufwile mundu gwa kyala
 
me ningepata YA LEO KALI ya wachuja nafaka na wimbo wao fulani wameimba na Bamboo wa kenya
 
wandugu mi natafuta nyimbo za waswahhili by nature.
 
mi natafuta colabo ya war will na dayna nyange
soul n faith maumivu ya mapenzi
na wimbo wa bob rudala na ras pompidou unaitwa mzuka mwenye nazo please
 
mwenye mp3 original version ya Uswahilini matola Kosa la marehemu aipandishe hapa
http://tubidy.mobi/watch/7zI5s6qxkQMFNP5kVgHxCg_3D_3D/3gp-mobile/fs?sid=5091edc65649d93140eb7a0d233ba192
 
Mi mwenzenu ukimwi nauogopa bora nitafute mwali,nimatafute wa makamu na twende hospitali,tukamuone daktari au kijana mshauri,sio kwamba akatutibu bali atupe ushauri

Najua ukiupata we ni kwako,nyumbani kwako we na mke wako,shauri yako..na hata ukilia nani atasikia..kuna kundi la vijana wengiwengi watakuja kukutizama,wakikusabai amka ule mayai uendelee kuwa hai,japo mwanzo walikwambia unakokwenda siko huko..hii ndo bongo,kuna machangu wazuri weupe kama wazungu,kazi yao kuleta machungu,lakini yote haya yana Mungu

Cheki sasa ulivyo mweusi kuliko chungu,hakuna la kusubiri zaidi ya kaburi,nyumba ya halali iliyosheheni wenye viburi.
Ungelikuwa mwangalifu mwaminifu wote tungekusifu,ila kwa sasa mgeni wa yesu,bila kusita ukavunja amri ya sita,umebaki kujutajuta,majuto mjukuu hakuna unafuu,yamekukuta makuu,ufwile mundu gwa kyala

umetishaa mkubwaa!!
 
Back
Top Bottom