Ni mdada mmoja maarufu kwa kuuza biriani kuna kipindi video zake za uchafu zilivuja twitter na mitandao mingine ya kijamiiUmechambua vizuri Sana hasa sehemu ambazo zingetuacha geza ulole.... Ila zile sehemu pendwa za kisiasa umeziacha aisee... Mi sijaelewa mariamu biriani Ni Nani mkuu
Duuu kazi ipoila
kwa kiswahili fasihi nyimbo haina wingi
Mkuu nenda kanisani tu.Hapo cjaelewa mkuu, naomba nieleweshe Gwaj alimlaza vp kifo cha mende?
wacha niwah ibadaMkuu nenda kanisani tu.
Maana jina lako lina upako.
Umepotea sana mkuuWimbo mzuri kweli
Umepotea sana mkuu
Babu ng'ombe wa mondulivp khs yule mkulima mwenye nywele za kicongo aliyerudi chama tawala.?
Hapo cjaelewa mkuu, naomba nieleweshe Gwaj alimlaza vp kifo cha mende?
Kuuelewa huo wimbo lazima uwe ushajiweka karibu na mitandao ya kijamii kwa muda mrefu. Otherwise you'll remain baffled to the end of the world!Hapo cjaelewa mkuu, naomba nieleweshe Gwaj alimlaza vp kifo cha mende?
LOW-HASAvp khs yule mkulima mwenye nywele za kicongo aliyerudi chama tawala.?
Sidhani kama kuna MwimboWimbo
Mwimbo
Nyimbo
1&2.ni shilole ana bwana wake fundi gereji wamefungua mgahawa ndo maanaa anasema kuwa wote wamekuwa mama ntilieSijaelewa aya maneno yao:
1.vipi dada yetu wa igunga, vipi amecha kudanga, (hapa sijaelewa amewagusa kina nani hao)
2. Fundi gereji chawa amefungua mgahawa (hapa napo sijaelewa wakuu msaada)
3. Acha maisha yaendelee, jasiri ameumaliza mwendo (uyo jasiri ni nani)
4. Kuna demu aliolewa na mtoto, akaachiwa mtoto, (nani uyo alieguswa)
5. Ila mwamaba ni mnyanyasaji wa kijinsia, ni nani uyo
Ohooo... hapa sasa nimekubaliKuna video ya Gwaj ilisambaa mwezi mtukufu wa Ramadhan, Gwaj akimla muumini wake kwa style ya KIFO CHA MENDE
Sio Gwaji boy kweli?Piere Liquid