Wimbo Kijiwe Nongwa wa ROSTAM na Nay wa mitego ni noma

Humo ndani wameimba kimafumbo wamewataja wafuatao:-
Mondi bin la deni
Lowassa
Dogo janja
Uwoya
Zari
Tanasha
Amber ruty
Shilole
Gwajiboy
Uchebe
Amunike
Mzee wa liqwidi
Ruge
Lissu
Wema sepetu
Ila wamewataja kimafumbo...take your time kuinjoy nyimbo na kuwarecognize




!
!
Kuhusu huu wimbo nasubiri tu breaking news. sidhani kama watauvumilia uendelee kuwepo
 
Sijaelewa aya maneno yao:

1.vipi dada yetu wa igunga, vipi amecha kudanga, (hapa sijaelewa amewagusa kina nani hao)

2. Fundi gereji chawa amefungua mgahawa (hapa napo sijaelewa wakuu msaada)

3. Acha maisha yaendelee, jasiri ameumaliza mwendo (uyo jasiri ni nani)

4. Kuna demu aliolewa na mtoto, akaachiwa mtoto, (nani uyo alieguswa)

5. Ila mwamaba ni mnyanyasaji wa kijinsia, ni nani uyo
 
taarabu na mipasho tu
Kweli aisee..,Maisha yanaenda kasi sana kutoka kurap na kuimba harakati hadi taarab na mipasho..nadhani hii ni kazi ya wasiojulikana walivyofanya yao vijana wameufyata..










Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Back
Top Bottom