Wimbo huu unaitwaje, naombeni msaada tafadhali.

Wimbo huu unaitwaje, naombeni msaada tafadhali.

Sobhukwe

Member
Joined
Jun 2, 2018
Posts
30
Reaction score
32
Umofia kwenu.

Kama kichwa kinavyojieleza. Naombeni msaada wa kuujua huu wimbo. Kwa maana nimetafuta jina lake kwa muda mrefu bila mafanikio. Nayakumbuka baadhi tu ya mashahiri. Haya hapa

Busara si kipaji lazima ununue
Uwe kijana hata mzee katika maisha,
Uwe na busara
Uwe kijana hata mzee katika maisha,
Uwe na busara

Wimbo huu niliwahi kusikiliza kati ya mwaka 2001 na 2002. Naombeni sana msaada kuujua jina lake na nani ameimba.

Nitashukuru kwa msaada wenu.






Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom