Tutaonana baadaye..unanikumbusha vidonda vikali vya msiba[emoji24].
Ni kwa neema tu
Unanikumbusha wema wa Mungu kwangu hasa jinsi alivyonivusha kitaaluma.
Yote mema_ Joel Lwaga
Unanikumbusha changamoto nilizopitia za kifamilia,na changamoto nyingine binafsi.
Ila yote hutokea kutufanya hodari