Wimbo bora wa mwaka 2015

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
562
494
Kwangu mimi ni wimbo wa CCM acha waisome namba maana ndio wimbo unaoakisi yote yanayotokea kwenye jamii chini ya utawala wa Dr Magufuli
 
Wimbo

kwangu mimi wimbo bora ni ule wimbo wa Christian Bella NASHINDWA,nakumbuka kile kipande anachoanza kwa kusema "mbona kama unanionea.....".Nakumbuka neno hili la "unanionea" alilitumia mgombea mmoja mwenye mvuto wakati akihojiwa na mtangaza mmoja machachari wa BBC.Nahisi nae alitumia neno hili lililopo kwenye wimbo huo labda kutokana nae kuukubali wimbo huo.
 
Mkuu unachuki na vijana wa bavicha ngoja waje
 
Mkuu kama wamekwazika najua watasamehe saba mara sabini kwa kuwa ndo tunafungua mwaka,wachukulie hiyo ni kama "champagne"ya kufungulia mwaka.
 
Back
Top Bottom