BUSARA6
JF-Expert Member
- Jan 8, 2007
- 357
- 51
Mkuu hii itafika tie break na Roddick atashinda
ndivyo nitavyotaka sio kila mwaka bingwa huyo huyo tu
Mkuu hii itafika tie break na Roddick atashinda
Mkuu ngoma hii ni ya Roddick.Hii sasa ni set ya mwisho au decider na Federer anaongoza kwa games 3 na Roddick ana 2.
Hivi jamani Ronie Rugimbana aliishia wapi? Angalau angetufuta machozi kwa kuwa bingwa wa Afrika Mashariki.
Anyway kila la kheri na tukutane tena baadae.