Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 718
- 1,204
Ngoja siku nitaenda nae hadi kwa konda nimlipie nauli nione...maana sipendi uongoWe toa kwani ni pesa ngapi? Si ni 1000 au 700 unahisi utapungukiwa nn? Mi natoaga kama kanitapeli atajua yy mi nasonga na yangu.
Mbona sometimes nakua bar halafu napigwa mzinga wa bia ya 3000 na totally stranger na nampatia kiroho safi.
So hata ukiwa sober so the same.
Itapendeza sana ukifanya hvyo, akianza story nyingi MUACHE!.Ngoja siku nitaenda nae hadi kwa konda nimlipie nauli nione...maana sipendi uongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo utakuwa umetimiza lengo lakeNgoja siku nitaenda nae hadi kwa konda nimlipie nauli nione...maana sipendi uongo
Hatokubali kamwe mkuu. Nilishafanya hivyo.Ngoja siku nitaenda nae hadi kwa konda nimlipie nauli nione...maana sipendi uongo
Mbona nimeshakutana nao mara nyingi. ila chakufanya ndo kumwambia muuongozane pamoja kuelekea kituo cha Daladala anachotaka kupakia . Akikuanzishia "Elfu Layla" njiani na ww una mwacha ktk ya mataa unaendelea na safari zako nyegine. ... Usikusudie kufanya wema kisha unaendelea kujiuliza maswali bila majibu.Habari ya weekend.. Katika pita pita zangu hapa jijini Dar haswa maeneo ya centre..nimekuja kushtukia naombwa nauli na watu tofauti tofauti tena waweza kuta unaombwa mara mbili kwa siku moja.
“Samahani kaka nimetokea Kigogo nilikuwa naomba nauli niweze kurudi nyumbani, maana hapa nimepoteza nauli ya kurudi” hii ndo gia anayokuja nayo...
Hivi inawezekanaja watu wengi wapoteze nauli kwa wakati mmoja..na kama wanapoteza mbona sisi hatuokoti hizo hela wanazopoteza..au kuna mtu kashawahi kuokota hela stend?
Bila shaka huu ni usanii na sasahivi ni kuwaepuka vikali..
Mkuu huu ni usanii...haiwezekani naombwa nauli na watu watatu kwa siku moja tena wanadai wamepoteza nauli...Sio kupungukiwa mkuu, ni kukosa kabisa.. mtu katoka Mbagala huko kaenda Makumbusho, Masaki Posta ama Kariakoo kutafuta riziki(kazi), Ila unakuta mpaka mida inatembea hajala na hajapata chochote anaamua wacha nirudi, sasa na namna jua la Dar hvi linavyochoma anaamua kujipa hopes kua "Good people are still there, so let me try" huenda akapata atleast nauli ya kurudia.
Mtu kutumia kauli ya kupungukiwa ni namna ya kupunguza kulia shida zake kua "sina kitu" maana ukisikia hvo utaanza kuwaza hajala n.k, naamini sio kwamba wanapenda ni shida tu!.
Pia, wapo ambao yeye kazi yake ni kuomba hvo kila siku, hawa ndio tatizo.
So all in all, kama una uwezo muda huo, wewr msaidie tu alafu endelea na shughuli zako, kama huwezi ama hutaki mwambie tu "pole sana, sina kitu"
Tuzingatie kauli ya " TENDA WEMA, NENDA ZAKO" ukiwa una deal na situation kama hizi.
Always pray and be thankful for where u are!.. kuna baadhi ya watu hata humu wamepitia changamoto nyingi sana... kuna wakati mtu unaishiwa akiba yako una njaa kali sana umetafuta kibarua chochote hta cha kubeba mizigo umekosa.. mbaya zaidi kuna watu kama mimi tunaweza kufa tunajiona maana swala la kuomba kwangu ni mtihani mkubwa sana, wanaoshindwa kuvumilia ndo hao..Mkuu huu ni usanii...haiwezekani naombwa nauli na watu watatu kwa siku moja tena wanadai wamepoteza nauli...
Na kama anaomba omba ili apate ridhiki... Inakuaje mtu mzima hana ugonjwa wowote ule aombe hela... Kuna vilema wanapiga chepe huko nishawahi fanya kazi na kilema amekatika vidole anavidole viwili tu lakin anapiga saidia fundi...
Kwanini adanganye kwanza amepoteza nauli?