Wimbi la wadada kujifanya wapo nje ya nchi wanataka wachumba mbona linaongezeka sana, kuna nini??

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,809
Ukipita pita kwenye page za mastaa huko Instagram utakuta wimbi la wadada wanaojifanya wapo ulaya na wanatafuta mwanaume wa kitanzania linazidi kukua kwa kasi sana, mara ya kwanza nikajua ni sehemu tu ya kuondoleana stress lakin naona siku hadi siku wanazidi kuongezeka tu.

Hivi kuna nini hasa?
IMG_20190912_190528.JPG
 
Ukipita pita kwenye page za mastaa huko Instagram utakuta wimbi la wadada wanaojifanya wapo ulaya na wanatafuta mwanaume wa kitanzania linazidi kukua kwa kasi sana, mara ya kwanza nikajua ni sehemu tu ya kuondoleana stress lakin naona siku hadi siku wanazidi kuongezeka tu.

Hivi kuna nini hasa? View attachment 1205668

Mkuu wewe sio GREAT THINKER rudi facebook tu ase
 
Wadada wa Kenya especially Nairobi ndio wanaongoza kutafuta wanaume mitandaoni
 
Nimemkumbuka jesca wangu wa Canada nilimkuvalia ila kadi ya uraia sina ningekuwa Canada Mimi alipokuwa Dr tlaa
 
Papuchi imetumika mpaka basi sasa anatafutwa bwege wa kwenda kula kilichoshindikana. Ukiona hivyo ujue huyo mdada anajua kuanzia 3 some mpaka 69.

Hakuna mdada hapo na probably ni mwanaume. Just mtu anacreate account, anagoogle picha za wadada warembo anapost, hizo account mara nyingi ziko private, ukimuomba request akakubali, utaona picha zake kinachofuata ni DM (kama PM ya huku) kuomba mawasiliano, huko ndipo ambapo wajinga wanaelekezwa machinjioni.

Unaona kati ya hizo 9 replies mkuu? Kuna mtu au watu lazima apigwe.
 
Back
Top Bottom