Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,193
- 926
- Thread starter
- #141
Ivi hauwezi kuanza ukalipia baadae, bàada ya ww kuanza kulipwa na YouTube??? .apo ni kwa channel za habari tu ndio zinalipiwa??.
Malipo ya kurusha maudhui YouTube ,kwa mujibu wa TCRA ni hivi
Kama ni channel au TV inayorusha mambo ya habari na siasa ada ni 1,000,000/= + 100,000/= ada
Km ni maudhui mengine ni tzs 500,000/= + 100,000
Nini uwe nacho
1.business name reg toka Brela
1.Tin toka tra
Kumbuka ili YouTube ili wakulipe inabidi uwe na subscribers 1000+ watch hour 4000+ ..
Baada yapo hakikisha video zako zinapata watch hour ya kutosha
Nina channel YouTube iko vzr mpk sasa ingawa sijaiamulia sana
Nimeona si mbaya nami nikachangia