Watoto ni baraka, kuna watu wana kila kitu maishani wamekosa watoto. Wanajiona bado hawana kitu kwasababu hawana watoto.
Mambo ya single mother, ni mwanaume na mwanamke, kama mnajiona bado kuzaa na kulea pamoja, tumieni protection. Na mnayakuza sana, unaweza kuwa kwenye ndoa na mume akafa, ukabaki unalea mwenyewe.