Titizo ni lile lile wanalipenda kusema watu hapa.
Kama Vijana wa kiume wa Mjini mmelala,kazi kuuza sura tuu na kutafuta maisha mepesi,huku mmepiga ngwasuma.
Lazima Madem Jiji wawakimbize,na ndio imefikia hivyo
Uaminifu wa Madada utakula ajira kibao Jijini kwa vijana wa kiume.
Wanawake wakiajiriwa wengi huridhika na wanachopiaka,ila Vijana kabla ya kuajiriwa anafikiria dili,yaani wapi nitamuibia tajiri kwa style yoyote,sasa hii ndio tofauti kubwa