Achana na mawazo mgando (mawazo ya karne zilizopita).
wanawake wanakuwa maraisi, mawaziri, makatibu wa umoja wa mataifa, halafu we unaona mwanamke kuwa konda ajabu. Siku moja Panda Ndenjela bus uone mwanamke anavyoikamua basi Yutong toka Dar hadi Mbeya na siku ya pili anarudi nayo.