Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,906
Huyo jamaa ni mpumbavu sana amekuwa anacomment vitu ambavyo havina uhusiano hata na mada husika na anaharibu tu threads za watu.Mimba na Lowassa wapi na wapi
Huyo jamaa ni mpumbavu sana amekuwa anacomment vitu ambavyo havina uhusiano hata na mada husika na anaharibu tu threads za watu.Mimba na Lowassa wapi na wapi
Ni kweli sio lazima ila ina heshima yake ktk jamii zote.Ndoa sio lazima, ni hiari.
Ni kweli sio lazima ila ina heshima yake ktk jamii zote.
Mpaka upewe pesa.nipe mil 20 namuoa niliyemtia mimba ata kesho
Sasa mito unataka watoe hizo mimba zikiingia ? Sababu kosa moja huleta lingine na lingine .. Wanaume bana wakitoa mimba mnalalamika wakizaa manalalama mnatakaje sasa?Huu utetezi wenu mmeukariri tu lakini unawapotezaga sana, nina imani wanaoushadadia ni wale ambao hamjazalishwa au aliyezalishwa lakini ana uchumi wake. Hawa tunaowaona huku kitaa wanaangaika na watoto ni majuto daily
Elimu ya uzazi inayakiwa kufundishwa kwa kina kuanzia level za chini watoto wakue wakitambua hiloNo siyo kutoa, wasirubunike kirahisi, watumie kinga, abstain etc
Ewaaaa hapo sasa tunaongea lugha moja, hili ndo suluhisho!!, lakini ule utetezi wenu mnaotoaga mmh!!Elimu ya uzazi inayakiwa kufundishwa kwa kina kuanzia level za chini watoto wakue wakitambua hilo
Haya tujitahidi kutoa elimu kuanzia kwenye familiaEwaaaa hapo sasa tunaongea lugha moja, hili ndo suluhisho!!, lakini ule utetezi wenu mnaotoaga mmh!!
Tunawategeshea makusudi au nyie pia mnamwaga makusudi ?Naona ishakuwa kawaida siku hizi... wanawake wenyewe wanajirahisi, tena wanakutegeshea makusudi!!!
Changes hazizuiliki tuangalie tu ni jinsi gani tutaendana na mtindo huu wa maisha...
Yap yap yapHaya tujitahidi kutoa elimu kuanzia kwenye familia
thats to prove a point hela ya sherehe hakunaMpaka upewe pesa.
mdada kama unashindwa kuzijua siku zako nalo ni tatizo, mtu ata amwage ndani mara mia kama ni siku safe you are good!!!Tunawategeshea makusudi au nyie pia mnamwaga makusudi ?
Tumia kinga muone kama mimba itanasa
Kwanza, mnahit n run, wadada wa watu wanafika late 30s wanaona watafute tu watoto.
Mimba zenyewe shida kuingia siku hz, what's the point of aborting afu aolewe akeshe hospitals
Aiseeeeh!mdada kama unashindwa kuzijua siku zako nalo ni tatizo, mtu ata amwage ndani mara mia kama ni siku safe you are good!!!
hiyo issue ya kusema mimba ni shida kuzipata ndo mana mnaanza kuzitafuta hata kabla ya ndoa..