Wimbi la dawa za kuongeza makalio

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,515
Reaction score
19,872
Wananzengo naomba kuuliza hivi hizi waziitazo dawa za kuongeza makalio ambazo ki ukweli insta karibu asilimia kubwa wanazitangaza kwa sasa zinazidi kuongezeka je ni kweli zinafanya kazi?

Na kama zina fanya, nani ana ushuhuda huo?

Lakini pia mamlaka usika hili suala mliangalie kwa ukaribu kama halina madhara au lina madhara maana ki ukweli sidhani kama haya mafuta na madawa TFDA wameyakagua, ni pamoja na krimu za kujichubua siku hizi kila mtu anatengeneza kienyeji enyeji.
 
Sambamba na za kuongeza nguvu za kiume
 
Huu uzi umeulizwa kwa nia njema lakini sasa hivi watu wataanza kupost na mapicha...
ki ukweli hili swala limulike nahisi kuna hatari hata ya kuoza mwili japo sina uwakika lakini nahisi ni dawa zinazotengenezwa kiholela sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…