Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
yap!! hizi sasa ndiyo habari za celebrities. kila siku ulete habari kama hizi na siyo celebrities wa kwa mtaa wa kwenu!!
Mbona uwa nazileta sana tatizo lenu habari hizi mnazipotezea uwa hamtaki kukoment ata like wagumu kutoa.
Mnataka habari za kina lulu ndio mnakoment
Hizi habari bwana ni vyema ! Angalau ukawa unaziweka kwa kiswahili walau itasaidia !
Ila kingeredha bana ung'eng'e ni tatizo !
Mi nimeishia kuongelea mapaja tu ya hako katoto ! Ila habari sijaielelewa !
Mbona uwa nazileta sana tatizo lenu habari hizi mnazipotezea uwa hamtaki kukoment ata like wagumu kutoa.
Mnataka habari za kina lulu ndio mnakoment
Ana mapaja mazuri !
Angalia kaka, kuwatamani watoto wa watu tutakusahau. Muulize Babu Seya
Hako katoto mbona level yangu !
Kwani kana miaka 19 ?
Afu Babu Seya alitamani alifanya kweli?
Ye Alitembea na duu wa anaekula kuku kwa mrija !
Na nnadhani Duu ndiye aliyemwelewa sana Babu !
Lakini ndo hivyo tena Hata refa apige filimbi ushindi wanaumiliki !