Mtumishi Mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 259
- 93
Tuwekee hoja za JM ndio tujue ni vipi tunaweza kuzifanyia kazi. Otherwise HUWEZI kuwafananisha hawa wawili kwa namna unayotaka tufanye
Hello wana JF,
Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia hoja mbalimbali zinazotolewa na ndg yetu bw W. Malecela. Imefika mahali nikiri kwamba ninapata ukakasi kusoma hoja anazozitetea kama hili la posho za wabunge na kwmb wabunge ni watu muhimu zaidi ktk hili taifa. Historia ni mwalimu mzuri sana; hivyo ninaamini kwa kuwa huyu mtu ni mtoto wa mwanasiasa mkongwe na pia amepata exposure ya kutosha hoja zake zingekuwa na mashiko zaidi. Nimejikuta najaribu kumlinganisha na mwanasiasa kijana (January Makamba) na ambae pia ni mtoto wa mtu ambae amekuwa serikalini na kwenye chama kwa muda mrefu. Birds of the same feathers do flock together, kutokana na background yao, hopefully these people are friends and possibly learning from each other. Swali langu hapa ni je, twaweza kuwafananisha hawa watu? Willium na January. Lengo hapa ni kusaidiana ili kila mmoja atekeleze majukumu yake na kuepuka matusi yasiyo na lazima kutoka kwa raia wema.
Ndugu yangu William hii mada ilikuwa inatuhusu sisi kuwalinganisha nyie wawili na si wewe kujibu kama ulivyofanya.- Well, heshima yako mkuu hii kwenye siasa tunaita divide and rule, haina mashiko cause haina hii thread haina tija kwa taifa; Mh. Januari is a great friend, a great fella, smart, humble na very young for sure ni the future of this nation. He has all it takes kuwa effective leader wa this nation.
- Ninakubaliana na hoja zake na misimamo yake mingi sana politically, lakini kwenye hili la posho hatupo wote it is ok ndio Demokrasia, lakini otherwise I have a lot of respect for him hasa his works ninaamini kwamba given a chance huko mbele ya safari atalisaidia sana hili taifa, kwa sababu he can think solutions very quick, badala ya kusbiri upepo wa siasa au kuulizaa kwanza hiyo sio his style, ambayo ndio style ya politicians wetu wengi.
- HAVE A GOOD DAY BRO NA KIDUMU CCM!
William.
- Well, heshima yako mkuu hii kwenye siasa tunaita divide and rule, haina mashiko cause haina hii thread haina tija kwa taifa; Mh. Januari is a great friend, a great fella, smart, humble na very young for sure ni the future of this nation. He has all it takes kuwa effective leader wa this nation.
- Ninakubaliana na hoja zake na misimamo yake mingi sana politically, lakini kwenye hili la posho hatupo wote it is ok ndio Demokrasia, lakini otherwise I have a lot of respect for him hasa his works ninaamini kwamba given a chance huko mbele ya safari atalisaidia sana hili taifa, kwa sababu he can think solutions very quick, badala ya kusbiri upepo wa siasa au kuulizaa kwanza hiyo sio his style, ambayo ndio style ya politicians wetu wengi.
- HAVE A GOOD DAY BRO NA KIDUMU CCM!
William.
Ndugu yangu William hii mada ilikuwa inatuhusu sisi kuwalinganisha nyie wawili na si wewe kujibu kama ulivyofanya.
Tunajua kuwa wewe ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi,hivi ikija kutokea CCM ikafa,je wewe hautodumu?
Wiliam badilisha hilo avatar lenye nguo ulioazima kwa baba yako unaonekana kama una miaka 90
- Yamekua haya sasa? ha! ha! ha! ha!, yaani chama tawala kife kwa vipi bro?
William.
Hello wana JF,
Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia hoja mbalimbali zinazotolewa na ndg yetu bw W. Malecela. Imefika mahali nikiri kwamba ninapata ukakasi kusoma hoja anazozitetea kama hili la posho za wabunge na kwmb wabunge ni watu muhimu zaidi ktk hili taifa. Historia ni mwalimu mzuri sana; hivyo ninaamini kwa kuwa huyu mtu ni mtoto wa mwanasiasa mkongwe na pia amepata exposure ya kutosha hoja zake zingekuwa na mashiko zaidi. Nimejikuta najaribu kumlinganisha na mwanasiasa kijana (January Makamba) na ambae pia ni mtoto wa mtu ambae amekuwa serikalini na kwenye chama kwa muda mrefu. Birds of the same feathers do flock together, kutokana na background yao, hopefully these people are friends and possibly learning from each other. Swali langu hapa ni je, twaweza kuwafananisha hawa watu? Willium na January. Lengo hapa ni kusaidiana ili kila mmoja atekeleze majukumu yake na kuepuka matusi yasiyo na lazima kutoka kwa raia wema.
Najaribu tu kupata picha kama ilivyotokea Tunisia,maana kimbunga kinapokuja huwezi kukizuia.- Yamekua haya sasa? ha! ha! ha! ha!, yaani chama tawala kife kwa vipi bro?
William.
Wiliam badilisha hilo avatar lenye nguo ulioazima kwa baba yako unaonekana kama una miaka 90
NILISHASEMA HILI NI GAMBA TENA LIMEPIGWA NA BARIDI KUTOKA USA,ANGALIA LINAVYOJIPENDEKEZA KILA KUKICHA KUPIGA PICHA NA WABUNGE RUDI USA UKAVUE SAMAKI.:baby: