HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,367
- 94,550
Dollar kuondoka ni ngumu sababu wanunuzi wakubwa kutoka China ni hao hao Wazungu, wanampa China Dollar.Broo bora hata umeweka sawa , watu wanadhani dollar kuanguka ni kitu rahisi , hawajui how complex dollar is wired to individual country economy.
Malawi na zimbabwe zilishawai experience dollar shortages, ni kipindi hicho mafuta kwenye petrol station yalikuwa ya mgao .
Nchi ikishaikosa dola si tu haiwezi kununua mbolea bali hata mafuta haiwezekani kununua ,
Bahati mbaya Kenya hawana chq maana ku export ili ku sustain mahitaji ya dola
Mikopo na misaada hutolewa interms of Dollars, hata mchina anachukua dollar
Ni wehu tu huamini kuwa ni rahisi kuachana na dollar ndani ya siku 1 au 2
Kinachoendelea Kenya ni kuwa wafanyabiashara wamejihami.
Kitachofuata ni mauaji yakutisha kwa wafanyabiashara
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app