antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 44,636
- 120,165
Kwa hiyo Us Dollar kuadimika Kenya ni udaku?!...what does that imply.US Dollar in short supply na Federal Reserve wanachapisha kama fliers.Huo ni udaku,habari za mtaani.
Wewe hujasikia?
Kenya yakabiliwa na upungufu wa sarafu ya dola – DW – 22.03.2023
Kenya inakabiliana na uhaba wa akiba ya fedha za kigeni. Wakati watumiaji wanahisi makali ya uhaba huu, matatizo makubwa zaidi ya kimuundo yanaendelea kuikumba nchi hiyo.
amp.dw.com
Pia..
Na hii kauli ya rais Samia je?
Tanzania iko vizuri kiuchumi kuliko majirani, Rais Samia ajigamba
Rais wa taifa laTanzania Samia Suluhu amewahakikishia wananchi wake nchi hiyo iko katika hali nzuri ya kiuchumi, tofauti na baadhi ya majirani ambao hakuwataja.
kiswahili.tuko.co.ke
Kimsingi vyanzo vya taarifa zako ndo UDAKU og, maana ni uongo mtupu!!!
Nimekuuliza, hao Kenya WANAACHA kutumia lini??
Hujajibu..