.Hiyo hela anayopata Muuza N'gombe katika mazingira hayo ni inflated,ikiwa na maana kwamba thamani yake ni ndogo,so he/she will have to sell alot of cows ili afanye analotaka kufanya,na hiyo ni hasara kwake.Also ipo inflation Buble,a point where the money or currency is worth nothing,so kama ameweka deposits zako in US $ for example,his/her dollars will have zero value,kwa hiyo ataingia hasara.
Katika mazingira ya sasa,the best option ni kuwa na real assets kama dhahabu nk.
Hata Mimi nawaza hivyo.. inasemekana vigogo Kenya wameficha pesa nje ya nchi inafanya mzunguko wa pesa katika banks kuwa mdogo kenya.. wamemsusa rutoHamna kitu zaidi kuwa anataka kudhibiti currency exchange shops mfano wa magufuli alivyofanya, anahisi watu wanaficha pesa
Si kweli Ruto mkuu,yupo sahihi kabisa.Many nations are dumping the US dollar for the following reasons:Hamna kitu zaidi kuwa anataka kudhibiti currency exchange shops mfano wa magufuli alivyofanya, anahisi watu wanaficha pesa
Naskia wamatekani wanachapicha minoti na kuisambaza duniani kwenda kubeba real materials kama gold, diamond, other raw materials n.k
Yaan ni sawa una ng'ombe, mm naingia kwenye mashine nachapisha karatasi nakuletea unanipa ng'ombe.
Yo circle inaendelea hivo ila sijui ina madhara gani kwa muuza ng'ombe maana nae ataenda ku spend kwingineko bila dhida yyte.
Nani atufafanulie madhara atakayopata muuza ng'ombe?
Si kweli mkuu,unahitaji kupata knowledge zaidi.Inaelekea wewe si msaka taarifa,kwa kuwa huna knowledge kabisa ya current affairs.Hamna kitu zaidi kuwa anataka kudhibiti currency exchange shops mfano wa magufuli alivyofanya, anahisi watu wanaficha pesa
O
Kwa hiyo Ruto ana-day dream.Sawa mkuu.Kiukweli huilewi Dunia kabisa.The Empire of Lies has zombified you.Sad.
Yours is what is wishful thinking.Mkuu it is obvious uimara wa US Dollar is on the decline,kwa kuwa demand yake ina-decline.Nations using alternative currencies as reserve currency and trade has huge repurcursions on its' value. Kwa mchumi hili liko wazi sana, wala halihitaji discussion.Yani ruto hapo nairobi aotee dola $$$ inaanguka atahadharishe watu Inaingia akilini kweli?, kwa data gani?? Angalia GDP ya US kwanza ujifunze na uone sources za revenue hlf tathmini lini zitakoma kuzalisha. Yani dola ianze tu kuanguka 1% then 2%, 3%... 10% halafu dunia ya kwanza - the most successful nation inatazama tu kwa kuwa Ruto na Mathanzua wanaiombea ianguke???
Wishfull thinking mzee Mtahanzua, $$$ imesimamishwa kwenye mwamba! haitakaa ianguke hata Yesu anaporudi! Najua unajua hilo unajitoa ufahamu tu. Hamna pesa itakuja kuiangusha $$$ kwa at least miaka 100 ijayo!
Yours is what is wishful thinking.Mkuu it is obvious uimara wa US Dollar is on the decline,kwa kuwa demand yake ina-decline.Nations using alternative currencies as reserve currency and trade has huge repurcursions on its' value. Kwa mchumi hili liko wazi sana, wala halihitaji discussion.
Huo ni mkwara tu ,Kenya kwa sasa ina experience huge dollar shortage crisis, yaani ni so serious hadi wanashindwa kununua vitu nje .The dollar’s dominance is unlikely to change in the near future, and it will remain the principal currency of international trade and transactions, No other currency is close to replacing it. But its stranglehold on the global financial system could weaken if more countries start trading in other currencies and reduce their exposure to the dollar.
Hana dola, na manunuzi ya vitu kama mafuta lazima uwe na dolaHamna kitu zaidi kuwa anataka kudhibiti currency exchange shops mfano wa magufuli alivyofanya, anahisi watu wanaficha pesa
What do you know?Go back and read my comment again usikurupuke. 'Ruto knows something you dont' ooooh Man, is Ruto not a politician?
Any way you know nothing of what is going on.
Hio ni sahihi kabisa Kenya inaenda Ku experience shortage of dollars like Malawi ambayo wakizembea watashindwa kuagiza fertilizer msimu ujao wa kilimo na hii italeya njaa Kali nchini kwaoBenki kenya hazina dola na watu kwa kulijua hilo wanaficha kwa matumizi yao muhimu .
Huo ni mkwara ili wazitoe ziingie kwenye mzunguko,
View attachment 2566395
If you have been following World affairs closely, you probably already know what is ahead of humanity.With that in mind,President of Kenya has urged his citizens to get rid of U.S. Dollars, because soon the dollar will be worthless (Operation Sandman?).This is free advice to you also.
=========
25 MARCH 2023
The President of Kenya today announced to all citizens they should get rid of any U.S. Dollars they may be holding because they will become worth less within weeks.
William Kipchirchir Samoei Arap Ruto, Ph.D, CGH; is a Kenyan politician who is serving as the fifth and current president of Kenya since 13 September 2022.
Prior to becoming president, he served as the first deputy president of Kenya from 2013 to 2022.
Today, in a nationally televised speech in Kenya, Ruto said “Those of you who are holding dollars, you shortly might go into losses. So you better do what you have to do because this market will be different in a couple of weeks.”
Here is actual video so you can hear him say it for yourselves:
This stunning announcement gives credibility to a RUMOR that has been circulating for over a year, that 142 countries around the world have secretly agreed to what they call "Operation Sandman."
According to the RUMOR, Operation Sandman will "put the US Dollar to sleep" by having all 142 countries repudiate the currency on the same day, and refuse to continue accepting it for payment in Trade.
Countries around the world began planning this when they witnessed the then-Democrat-Controlled US Congress, go on a spending spree of several TRILLION Dollars in Omnibus Bills. Those countries realized there is nothing backing the value of US Dollars and they saw that the US Congress has no plans at all to reign-in spending.
One country's Finance Ministry recently told the US, "We are no longer willing to accept ones and zeros in a bank computer as actual payment for real goods."
The countries agreed that holding US currency was becoming foolish because it was becoming worthless on its face, thanks to all the rampant over-spending by the US Government.
Now, it appears those countries may actually take action "within a couple weeks."
If countries around the world repudiate the Dollar as payment for goods in trade, then they would halt providing manufactured goods or raw materials unless paid in some currency OTHER THAN DOLLARS.
Since the U.S. barely does any manufacturing at all anymore, thanks to the business nitwits who thought it was a good idea to convert the US economy to a "service economy" then products we buy in stores will simply run out and we will be unable to re-stock because no one will want our money.
Among the business nitwits are also those who pushed for "Free Trade" claiming it would improve sales of American-made goods overseas if America agreed to halt Tariffs on all imported items.
The government bought-into the idea, not realizing - or not caring - that these very businessmen weren't at all interested in selling more American goods overseas. What they were interested in was shipping American JOBS overseas, taking advantage of cheap labor, then shipping those exact same products back to the USA to sell at the same high prices . . . . while pocketing the profit from the new, foreign, cheap labor without having to pay Tariiffs.
The Businessmen, their corporate Boards of Directors, and Commerce Organizations who touted "Free Trade" were the ones who moved American jobs overseas and now, the country barely manufactures anything, anymore.
So here we are, years later, and thanks to those businessmen, and the federal politicians who foolishly believed their lies about "Free Trade," we have almost no manufacturing. Countries around the world seem to be actually planning to stop accepting the US dollar as payment, so we won't be able to buy anything because it's all made overseas now!
Retaliation against the people who did this should be swift and ferocious when Americans can no longer buy even life's basics because corporate titans and certain others stripped our country of manufacturing.
PREPARE NOW!
Broo bora hata umeweka sawa , watu wanadhani dollar kuanguka ni kitu rahisi , hawajui how complex dollar is wired to individual country economy.Hio ni sahihi kabisa Kenya inaenda Ku experience shortage of dollars like Malawi ambayo wakizembea watashindwa kuagiza fertilizer msimu ujao wa kilimo na hii italeya njaa Kali nchini kwao
La sivo waendelee kukopa Ili wapate dollars na waongeze export ndipo watakuwa stable
Tatizo watu wa Uhuru wanaficha inflow ya dollar sababu hawana uhakika na usalama wa biashara zao hivo ni lazima President Ruto akutane na Cha mtemakuni na ameshapanic ndio mana anasema hivyo
Kinachozuia nchi zingine zisifanye hivyo ni nin?US are printing more money papers and giving out to other nations as Bond so as to increase foreign currency reserve in order to be dominant.
But the reality in the meantime could create inflation bubbles and due to external conflicts with Russia and other Asian countries like China would weaken their reserve currency because many nations are looking for the alternatives.
Alternative for now is Yuan and could impact NEW WORLD ORDER.