Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
LeWilliama Malechela ulisema kuwa leo utahudhuria Mkutano wa chadema jangwani .. Mkome nyani kwa kutumegea yaliyojiri....
Pamoja sana!!
Williama Malechela ulisema kuwa leo utahudhuria Mkutano wa chadema jangwani .. Mkome nyani kwa kutumegea yaliyojiri....
Pamoja sana!!
- Hapana mkuu nilishindwa kwenda kumeb nilikuwa nimeji-committ siku nyingi kuhudhuria sherehe za fundraising za vijana wa YUNA, kule Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama so nilikwenda huko kuongea na vijana kuhusu my life na wageni wengi waliokuwepo pia, tulikuwa na Mike Mushi pia kutoka hapa JF so tuliwakilisha powa sana, lakini Bro wa Mh. Mbowe alinipigia sana maana tulikwua twende wote ila sikuweza maana after that nilikuwa ninawahi harusi ya mtoto wa Mh. Sumaye, Karimjee so sikuweza kufika!
- Vipi yaliyojiri huko nasikia walijaa sana watoto wa shule? au?
William.
Swali hili umelijibu kistaarbu kweli; kumbe huwa unaweza kufanya hivyo lakini huwa unaamua kuvaa gamba tu.
- Hapana mkuu nilishindwa kwenda kumeb nilikuwa nimeji-committ siku nyingi kuhudhuria sherehe za fundraising za vijana wa YUNA, kule Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama so nilikwenda huko kuongea na vijana kuhusu my life na wageni wengi waliokuwepo pia, tulikuwa na Mike Mushi pia kutoka hapa JF so tuliwakilisha powa sana, lakini Bro wa Mh. Mbowe alinipigia sana maana tulikwua twende wote ila sikuweza maana after that nilikuwa ninawahi harusi ya mtoto wa Mh. Sumaye, Karimjee so sikuweza kufika!
- Vipi yaliyojiri huko nasikia walijaa sana watoto wa shule? au?
William.
NILIHAWAAMBIA HILI JAMAA HALINA TOFAUTI NA BABAKE HALINA MVUTO LIMENENEPEANA KWA KULA NA LIKIPATA UJUMBE WA NEC ITABIDI MTUMIE FOLKLIFT KULIBEBA HALINA JIPYA LIMECHACHA,MAMBO YA NILIKUWA HARUSINI KWA MTOTO WA SUMAYE ANAMTISHA NANI KABEBE BOX MJOMBA KWISHEY:der:
naogopa sana ku comment post
za huyu W.J.MALECELA ...maana ni mkubwa humu...ila kwa kifupi mawazo na
akili zake ni tofauti na ukubwa wa mwili wake...