William Kusila aitabiria kifo CCM

Kwa hiyo huyu Kusila siku zooote hajayaona haya, mpaka aliposhindwa uchaguzi ndo all of a sudden kagundua?
 

Haya sasa. Kiranja mkuu wa movement hii yuko ukawa anagombea urais. Mambo yalianza siku nyingi.
 

Huyi ni mnafiki tu. Sasa utiifu gani huo?
 

CCM kimebaki chama cha familia kama ww si mwana familia unapoteza muda na unafuata kama fisi.
 
Mbona ipo clear, yeye anakufa nacho, AMA kifo ndio kitawatenganisha.
 
William Kusila ni nani katika nchi hii? Na akifa yeye kabla ya CCM itakuwaje? Tumeshaona wengi waliotabiria wenzao vifo halafu wakaishia wenyewe kutangulia mbele ya haki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…