makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Jul 3, 2019 #81 hearly said: Hahaha inaitwa ROHO 2..hiyo Click to expand... Hahaa!!! Yah!! Roho mbili, alikuwa sutan tamba kama sikosei.
hearly said: Hahaha inaitwa ROHO 2..hiyo Click to expand... Hahaa!!! Yah!! Roho mbili, alikuwa sutan tamba kama sikosei.
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,381 Reaction score 80,393 Jul 3, 2019 #82 makaveli10 said: Hahaa!!! Yah!! Roho mbili, alikuwa sutan tamba kama sikosei. Click to expand... Naam uko sahihi
makaveli10 said: Hahaa!!! Yah!! Roho mbili, alikuwa sutan tamba kama sikosei. Click to expand... Naam uko sahihi
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,829 Reaction score 38,912 Jul 3, 2019 #83 makaveli10 said: Kuna sehemu alimpiga yule mdada panga la tumbo, halafu wakati anakata roho akamnyonya mate. Click to expand... Inaitwa DELTA FORCE
makaveli10 said: Kuna sehemu alimpiga yule mdada panga la tumbo, halafu wakati anakata roho akamnyonya mate. Click to expand... Inaitwa DELTA FORCE
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,829 Reaction score 38,912 Jul 3, 2019 #84 kapalamsenga said: Movie za action za zamani zilikuwa bora zaidi na zenye hisia, ukiiangalia haikutoki kichwani hizi za sasa hazina mvuto sana. Click to expand... Kabisa mkuu ukiangalia mfano hiyo delta force 2
kapalamsenga said: Movie za action za zamani zilikuwa bora zaidi na zenye hisia, ukiiangalia haikutoki kichwani hizi za sasa hazina mvuto sana. Click to expand... Kabisa mkuu ukiangalia mfano hiyo delta force 2
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,530 Reaction score 6,942 Jul 3, 2019 #85 othuman dan fodio said: Huyu mnyamwezi kanilia sn hela zangu maeneo ya kibudi kwa mangaya na kona bar, nilikuwa sikosi movie zake, kabla ya movie tunawekewa trela, miziki ya kikongo kama sio alouis mabere, Kofi oromide au pepekale, Click to expand... Kwa manganya itakuwa tu kwa limonga uongo bob?
othuman dan fodio said: Huyu mnyamwezi kanilia sn hela zangu maeneo ya kibudi kwa mangaya na kona bar, nilikuwa sikosi movie zake, kabla ya movie tunawekewa trela, miziki ya kikongo kama sio alouis mabere, Kofi oromide au pepekale, Click to expand... Kwa manganya itakuwa tu kwa limonga uongo bob?
lendanai JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 389 Reaction score 297 Jul 3, 2019 #86 Daaaa jamaa hatari sana,nakumbuka kwenye movie hulk hogan nimesahau jina LA iyo movie but jamaa n danger
Daaaa jamaa hatari sana,nakumbuka kwenye movie hulk hogan nimesahau jina LA iyo movie but jamaa n danger
Diana Spencer JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 3,611 Reaction score 5,173 Jul 5, 2019 #87 .....
Diana Spencer JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 3,611 Reaction score 5,173 Jul 5, 2019 #88 hearly said: Daah nakumbuka hiyo scene jamaa ni zaidi ya kauzu Click to expand... Je alivyomnasa mavibao yule askari mahakamani[emoji16][emoji16]
hearly said: Daah nakumbuka hiyo scene jamaa ni zaidi ya kauzu Click to expand... Je alivyomnasa mavibao yule askari mahakamani[emoji16][emoji16]
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,381 Reaction score 80,393 Jul 8, 2019 #89 Diana Spencer said: Je alivyomnasa mavibao yule askari mahakamani[emoji16][emoji16] Click to expand... Hahaha wewe Diana ni kikongwe mwenzetu
Diana Spencer said: Je alivyomnasa mavibao yule askari mahakamani[emoji16][emoji16] Click to expand... Hahaha wewe Diana ni kikongwe mwenzetu
madindigwa JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 2,498 Reaction score 2,927 Jul 8, 2019 #90 Kipindi hicho kama lufufu hajatafsiri siingii movie
S shevadon5 Senior Member Joined Mar 15, 2012 Posts 196 Reaction score 188 Jul 8, 2019 #91 madindigwa said: Kipindi hicho kama lufufu hajatafsiri siingii movie Click to expand... Na alikua anampatia sana huyu jamaa..
madindigwa said: Kipindi hicho kama lufufu hajatafsiri siingii movie Click to expand... Na alikua anampatia sana huyu jamaa..