William Eugene Burrows Jr maarufu kama 'Billy Drago' afariki dunia

Kuna ile movie aliigiza na chak noris anaweka watu kwenye kijumba anawamiminia sumu mpaka wanakufa

Apumzike anapostahili
Kuna sehemu alimpiga yule mdada panga la tumbo, halafu wakati anakata roho akamnyonya mate.
Haahaaaahaaaaaa...
Delta force hiyo.
Jamaa alikuwa anaigiza hamnazo balaa!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…