Will you accept an appology, if...?

Will you accept an appology, if...?

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
748
In your relationship or marriage life and it happened someone came to you and say “I’m very so sorry I had affairs with your spouse".


Will you,,...?
 
I will from my heart with one reason:may be she decided to confess to make things move. Unajua siyo nyumba ndogo zote ni mbaya there is a reason ya mumeo au mkeo kwenda nje. Sometimes na nyumba ndogo ilidanganywa sasa imejua ukweli inaamua kukufumbua macho.

For sure kubali msamaha wake umweke huru, na hawezi rudia tembea na spouse wako in any case.
 
In your relationship or marriage life and it happened someone came to you and say “I’m very so sorry I had affairs with your spouse".


Will you,,...?

When? Before or after marriage?
 
I will from my heart with one reason:may be she decided to confess to make things move. Unajua siyo nyumba ndogo zote ni mbaya there is a reason ya mumeo au mkeo kwenda nje. Sometimes na nyumba ndogo ilidanganywa sasa imejua ukweli inaamua kukufumbua macho.

For sure kubali msamaha wake umweke huru, na hawezi rudia tembea na spouse wako in any case.
Bravoooo!
 
uko ndoani ama katika uchumba ndo yametokea hayo.

Ndo nakuuliza anakuambia alimmega kipindi kipi? Baada ya mimi kuwa na uhusiano naye au kabla? Wengine hatujaoa bikira, so kuna mtu alishajisevia kabla yangu.
 
Imeaandikwa samehe 7 x 70 ila mtoa thread m quote basi JIMMY KABWE wa EARADIO alikuwa anazungumzia hii kitu in relation tu Tiger Wood scandal ya nyumba ndogo.
 
Imeaandikwa samehe 7 x 70 ila mtoa thread m quote basi JIMMY KABWE wa EARADIO alikuwa anazungumzia hii kitu in relation tu Tiger Wood scandal ya nyumba ndogo.

Mpwa kuna vya kusamehe lakini si hili la kumegewa mkeo! Lol!
 
In your relationship or marriage life and it happened someone came to you and say "I'm very so sorry I had affairs with your spouse".
Will you,,...?

I will, but l will have to have long talk with my man back home!
 
Hilo zito sana wakubwa maana kuna watu wanajua kutafuna,binadamu aliwa kama kuku mpaka mifupa,inatisha kusikia ni heri aache kimya kimya.
 
so ndio hapo ebu fikiri jamaa mtaani anasifiwa kwa kula Tigo ,alafu anakuja ansema samahani nilikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkeo,si balaah hili snow?
mh!hii ngumu bana !mi hata sitaki wajikalie kimya na asinifuate mtu!
 
so ndio hapo ebu fikiri jamaa mtaani anasifiwa kwa kula Tigo ,alafu anakuja ansema samahani nilikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkeo,si balaah hili snow?

yani wala si utani !kimsingi sitaki kujua kabisa !nani kamess na nani!
yani uingie anga zangu halafu uje uniombe msamaha eti samahani nilikuwa natembea na mume wako!
 
mh!hii ngumu bana !mi hata sitaki wajikalie kimya na asinifuate mtu!

Sasa ameshakuja na amekuomba msamaha; utafanyaje? Usipomsamehe, italeta tofauti gani, kama kukuibia keshakuibia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom