Elections 2010 Will JK accept the negative election results??

American candidates can...But not JK, or any African fellow!
After all he has the NEC(a calf of his own pregnancy) in place, how then do we even think of that?
Ikishindikana kabisa, Mukubwa ya NEC itaitwa Ikulu, watatengeneza jukwaa la kiushkaji(KAMA KENYA) na kumtangaza fasta, huku Jaji akiwa stand-by kumwapisha- basi, biashara nakwisha!

They do it in Ghana as well.
Kasheshe hawa wa kweli role model yao ni Mugabe. uzuri tu kwetu tuna limitation ya ngwe, la sivyo yangekuwa yale yaleeeeeeeeeee
 
If he will not accept defit - a swear DAMU ITAMWAGIKA

We don't care whether will accept or not, the system will shift away to Dr Slaa then automatically he gonna remain alone as you may recall what happened to Gobachov in USSR in those old days.
 
Ndugu watanzania wenzangu wapenda mageuzi na wazalendo makini, mimi nadhani chadema inabidi watoe tamko kali kuhusu hujuma yoyote itakayofanywa na NEC au taasisi yoyote ya dola kwa lengo la kukipa ushindi chama cha mapinduzi basi NCHI HAITA TAWALIKA, na viongozi wa chadema watupe mikakati kuwa ikibainika au kusadikika ubadhilifu au hujuma yoyote wananchi tuchukue hatua zipi. hii itatoa msimamo wa chama na kila mwananchi ausimamie bila woga! kama kuingia mitaani na kuandamana au kuchukua hatua zote kwa kutumia nguvu ya umma.

Chadema toeni mikakati na msimamo mapema ili CCM wajue watakachopambana nacho kama kutakua na any kind of conspiracy to rig an election.
 
We all know he wont let go. And he knows we know he knows we all know he wont let go.
But let's do one thing.......let's not let him know what we will do (you know what to do, dont u?) if he doesn't let go when he has to!!
.
 
Ukiwa umejiunga karibuni ukampinga Slaa na Chadema wewe hufai humu ndani!lakini ukiwa umejiunga hata leo ukawa mshabiki wa slaa na chadema haina shida "wewe mwenzeu"
mkuu achana na hawa watu wa chadema. haina haja ya kujibishana nao. wewe ukija na mawazo tofauti tu na chadema utashambuliwa kama mvua unavyonyesha kutoka kila kona ya jf. slaa atashinda hapa jf tu. ASILANI.
 
Maamuzi hayo ya nini kifanyike kama ubadhirifu umetokea katika uchaguzi 2010 wanayo wananchi na wala siyo chama chochote.
 
"Ndugu watanzania wenzangu wapenda mageuzi na wazalendo makini, mimi nadhani chadema inabidi watoe tamko kali kuhusu hujuma yoyote itakayofanywa na NEC au taasisi yoyote ya dola kwa lengo la kukipa ushindi chama cha mapinduzi basi NCHI HAITA TAWALIKA, na viongozi wa chadema watupe mikakati kuwa ikibainika au kusadikika ubadhilifu au hujuma yoyote wananchi tuchukue hatua zipi. hii itatoa msimamo wa chama na kila mwananchi ausimamie bila woga! kama kuingia mitaani na kuandamana au kuchukua hatua zote kwa kutumia nguvu ya umma.
Chadema toeni mikakati na msimamo mapema ili CCM wajue watakachopambana nacho kama kutakua na any kind of conspiracy to rig an election."

Ndugu yangu kauli hii inatoa taswira kuwa umejiandaa kushinda tu, Je kama Kikwete akishinda kihalali utakuwa tayari kukubali matokeo?
 
Good question. Je na upinzani nao uta kuwa tayari kukubali matokeo? For it to be a democracy it should be a two way thing. I hope who ever loses will accept defeat. Maana kwa wengine uchaguzi si huru na wa haki mpaka washinde wao.
 
He who praying for rain, he unknowingly praying for mud! Wa Tz kwa nini tunaanza kufikiri kuhusu haya hebu tuwe na matumaini tu kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki! lakini pamoja na imani hii CCM na NEC waelewe kuwa " A dog who is playing with his master might look like it does have teeth, But be warned.....!
 
Good question. Je na upinzani nao uta kuwa tayari kukubali matokeo? For it to be a democracy it should be a two way thing. I hope who ever loses will accept defeat. Maana kwa wengine uchaguzi si huru na wa haki mpaka washinde wao.

The statement "Ushindi ni lazima" ya JK na CCM kwa ujumla ndio inayotia shaka if they are truely ready to accept the negativity. Historically, It's two times tetesi zimeonyesha Maalim won the Zanzibar presdential seat but CCM never accepted and we know what has happened there. Lipumba (CUF) and Mbowe (CHADEMA) showed much political maturity by accepting the results in TZ Presidential seat, Mbowe even attended the inauguration ceremony in 2005.

HOW about JK??
 
Well mkuu kusema "Ushindi ni lazima" haimaanishi mtu hata kubali matokeo. Ni kauli ya kutoa morari kwa kambi yake. Kwa hiyo that is not proof kwamba hato kubali ushindi.
Kuhusu Zanzibar Maalim mwenyewe kaamua kucooperate nao. Kama ange kuwa katendwa sana asinge kubali kushirikiana nao. Trust me story ya Zanzibar kuna mambo mengi ya ndani kwa nje hauwezi kuona.
Kuhusu Lipumba na Mbowe kukubali matokeo 2005 walikua hawana ujanja. Kikwete was very popular then na ili julikana moja kwa moja ata shinda. Sasa wange kataa nini? Na mwaka 2005 hakuna aliye expect upinzani kushinda. Swali ni mwaka huu ambayo according na upepo ya humu ndani ni kwamba Chadema wana chance kubwa je wata kubali?

Ninacho weza kukuambia mkuu ni kwamba usi chukulie sana hali unayo ona humu JF ukadhani ndiyo hali on the field.Jibu lipo kwa wapiga kura walio jiandikisha. Kuhusu JK kukubali au kukataa ni vigumu mtu yoyote humu ndani kuassume. Tuvute subira.
 
Baada ya kujikomba kwa akina Bush , Obama et al itabidi akubali kishingo upande maana wanaweza wakamfungia threads asikanyage tena huko kwao kabisa wakati rafiki zake ni akina BOys Two Men na bado abapenda kuwatembelea hata baada ya kushindwa Upresida.

Itakuwa imekula kwake, hata mabembea atayakosa!
 
Well mkuu kusema "Ushindi ni lazima" haimaanishi mtu hata kubali matokeo. Ni kauli ya kutoa morari kwa kambi yake. Kwa hiyo that is not proof kwamba hato kubali ushindi.
Kuhusu Zanzibar Maalim mwenyewe kaamua kucooperate nao. Kama ange kuwa katendwa sana asinge kubali kushirikiana nao. Trust me story ya Zanzibar kuna mambo mengi ya ndani kwa nje hauwezi kuona.
Kuhusu Lipumba na Mbowe kukubali matokeo 2005 walikua hawana ujanja. Kikwete was very popular then na ili julikana moja kwa moja ata shinda. Sasa wange kataa nini? Na mwaka 2005 hakuna aliye expect upinzani kushinda. Swali ni mwaka huu ambayo according na upepo ya humu ndani ni kwamba Chadema wana chance kubwa je wata kubali?

Ninacho weza kukuambia mkuu ni kwamba usi chukulie sana hali unayo ona humu JF ukadhani ndiyo hali on the field.Jibu lipo kwa wapiga kura walio jiandikisha. Kuhusu JK kukubali au kukataa ni vigumu mtu yoyote humu ndani kuassume. Tuvute subira.

Labda nikuulize mdau, Kwa nini watu wengi humu JF wanaonekana kuwa upinzani na hasa CHADEMA?
 
Hapa umenena vema! Tusubiri tu, its better to be flexible, ndiyo demokrasia
 
Back
Top Bottom