Nimemaliza form four 2010 n diploma 2017...nikawa kwenye majina ya waliotakiwa kuattach vitu vilivyokosekana of which I did...selected round 4....je watanipa mkopo?
Kuna mdada huwa Nina deals naye yeye yupo U.S.A huwa nawasiliana naye kwa broken tu na mkataba haufi, kikubwq ujumbe umefika kama unajua jibu mpe na siyo kujifanya wewe ni Grammar checker.