Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,806
Khaaaa kwa hiyo rais wa mioyo yetu naye inakuwaje mkuuIwe na isiwe, Lissu lazima apambanishwe na Sizonje a.k.a Uchwara ifikapo 2020. Ndo utakuwa mwisho wa dikteta kwenye anga ya siasa za Bongo.