Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Ndicho kilichomvuta huyo mrembo kwa jamaa, fuga kibamia uone kama utakumbatiwa hivyo....Uyo mwanaume apombele kwenye suluali yake mbona kama pametuna tuna vipi!? Au macho yangu
Kweli dunia tunapita, nimetazama hizo picha wakati mwingine nilifikiri wadau wameweka picha za Willy Smith na baba yake kumbe ni yeye mwenyewe alivyokuwa 90's na alivyo sasa 2014....
Real shocking...life is very short
Mkuu lakini na huyu naye mbona ameenda spidi sana, miaka ya tisini si juzi kati tu, alikuwa Yanki kabisa.....nadhani kuna kitu kinasumbua mwiliniAngekuwa bongo angeshazeeka zaidi ya hapo