The Quonquerer
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 777
- 111
Wherei is ma post?
1. Kudos to those who have TZ at heart! Nimefaidika na michango yao, hasa history ya ardhi Kenya! Ardhi yetu ni lulu, ndiyo mboni ya jicho letu, jamani. Tukilazimishwa na hivi vizee vifisadi our only saviour will be AK-47. Kwa hili sina utani na mtu, waliosema eti nina incite genocide, hawajayaona ya Musa!
2. Kenyans are trying to chew what they won't swallow, kumchezea Simba masharubu. WaTZ ni nuksi, angalieni sana, suala la ardhi mlikome kama mlivyo......la.....yenu.
3. Biashara tufanye tu! Tena haya mambo yaishie kwenye CM tu.
4. Hakuna nchi nyingine inawashwa na hii Federation zaidi ya Kenya, mpaka wameahirisha mambo yao yote ili kuona inatokea, wengine wako nyuma yake, kwa vile wana matatizo yanafanana, lakini anaye-engineer ni Kenya. Shida na umaskini wa mkenya unatokana na ardhi, ingawa hawawi wawazi, ona unemployment rate 40%! This is a disaster, wanaona pa kutokea ni Tanzania, kwa hili! Uganda ingawa wanasupport, lakini hawana pressure sana, kwa vile nao wana ardhi nzuri, ila kwa vile wanawategemea kwa bandari, basi wanaunga mkno tu, Rwanda na Burundi, wote wana hila na ardhi yetu, udenda unawatoka! Waliikosa kwenye Common Market, sasa wanaitafuta kwenye Federation, hilo mlijue kabisa, ndugu watanzania wenye uchngu na ardhi yao, acha hawa wengine wanaokaribisha kwenye lulu yetu wakati sisi bado "hatujatoka". Hawa ni kina Yuda Iskarioti, tuna maadui wa nje na ndani, tulitambue hili.!
Kuna post yangu ndefu imepotea, sijui kuna mkono watu, now i've to re-do it!
Hii thread nadhani itafungwa tena, kuna ishara hiyo! Hivi kama hatuwezi kuelewana kwenye forum hii wakati hatuonani, tukionana si itakuwa balaa, kiama hakyanani!
Naona Prof. Ndulu ameanza vizuri kwenye sarafu moja, ana akili, at least fow now!
FEDERATION ZIIIIIIIIIIIIIIIII.
am still skeptical, Tanzania is not well prepared for this. Kenya has posed to rip a lot out of it. The are right to push forward towrds the common market,because they have a lot to benefit from it. Sisi Tanzania hakuna lolote tutakalonufaika kama Kenya, hata kama tukinufaika sio kama ambavyo wenzetu wa Kenya wananufaika. Tutaanza kwenda kuuza fresh milk Kenya wao watakuja kutuuzia maziwa ya packet, tutauza mahindi kwao wao watakuja kutuuzia unga.
1. Kudos to those who have TZ at heart! Nimefaidika na michango yao, hasa history ya ardhi Kenya! Ardhi yetu ni lulu, ndiyo mboni ya jicho letu, jamani. Tukilazimishwa na hivi vizee vifisadi our only saviour will be AK-47. Kwa hili sina utani na mtu, waliosema eti nina incite genocide, hawajayaona ya Musa!
2. Kenyans are trying to chew what they won't swallow, kumchezea Simba masharubu. WaTZ ni nuksi, angalieni sana, suala la ardhi mlikome kama mlivyo......la.....yenu.
3. Biashara tufanye tu! Tena haya mambo yaishie kwenye CM tu.
4. Hakuna nchi nyingine inawashwa na hii Federation zaidi ya Kenya, mpaka wameahirisha mambo yao yote ili kuona inatokea, wengine wako nyuma yake, kwa vile wana matatizo yanafanana, lakini anaye-engineer ni Kenya. Shida na umaskini wa mkenya unatokana na ardhi, ingawa hawawi wawazi, ona unemployment rate 40%! This is a disaster, wanaona pa kutokea ni Tanzania, kwa hili! Uganda ingawa wanasupport, lakini hawana pressure sana, kwa vile nao wana ardhi nzuri, ila kwa vile wanawategemea kwa bandari, basi wanaunga mkno tu, Rwanda na Burundi, wote wana hila na ardhi yetu, udenda unawatoka! Waliikosa kwenye Common Market, sasa wanaitafuta kwenye Federation, hilo mlijue kabisa, ndugu watanzania wenye uchngu na ardhi yao, acha hawa wengine wanaokaribisha kwenye lulu yetu wakati sisi bado "hatujatoka". Hawa ni kina Yuda Iskarioti, tuna maadui wa nje na ndani, tulitambue hili.!
Kuna post yangu ndefu imepotea, sijui kuna mkono watu, now i've to re-do it!
Hii thread nadhani itafungwa tena, kuna ishara hiyo! Hivi kama hatuwezi kuelewana kwenye forum hii wakati hatuonani, tukionana si itakuwa balaa, kiama hakyanani!
Naona Prof. Ndulu ameanza vizuri kwenye sarafu moja, ana akili, at least fow now!
FEDERATION ZIIIIIIIIIIIIIIIII.
Na kwa nomasana, jifunze kuheshimu Watanzania, kama sivyo sema uko wapi Tanzania, uone mziki wetu ulivyokuwa mzito!
Ok sasa ongea sense,wacha vichekesho kakangu. you and your kind start by calling kenyans nyangaus and now u urge me to respect tanzanians? no i wont unless you people quit calling us names.
respect is a two way street. on every EAC topic started on this forum tanzanians are always the first ones to call kenyans names so why should show respect to tanzanians?
if no of you tanzanians dont insult kenyans i swear on the kenyan flag i will not insult any tanzanian on this forum.
fyi, when you threaten me you sound pathetic and petty.
Wiliam Ngeleja Minister for Mining said:Mheshimiwa Spika, nina orodha ya maeneo ambayo tumeshayatenga kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Tunafahamu kule Wilaya ya Geita, Rwamgwasi tumetenga hekta 710 kwa ajili ya wachimbaji wadogo na tumeshatoa leseni pale. Ukienda pale Nyarugusu na hivi bahati nzuri sana ni maeneo ya Mheshimiwa Lolesia Bukwimba, Mbunge mpya ndani ya nyumba hii, tumeshatenga maeneo ya hekta 510. Lakini nataka niwaambie wananchi wa Geita, mna maombi yenu kule Buziba, bado kuna maeneo ambayo mnadhani tunaweza kuwashirikisha kuwapa kwa ajili ya kuendeleza shughuli za wachimbaji wadogo, tunasema kazi zinaendelea, haijaisha, lakini nataka niseme hatujaishia hapo kuna maeneo mengine tumeshatenga, Mererani pale tuna hekta 1,490 kwa ajili ya wachimbaji wadogo wapo.
Mheshimiwa Spika, ni kweli kasoro zipo na kwa sababu kama tunavyosema hata kwenye familia huwezi kuyamaliza yote, lakini juhudi za Serikali zinafanyika. Kule Kilindi, Mvomero tumetoa ekari 269,000 kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Nataka kusema hili nikielezea juhudi ambazo zinafanywa na Serikali. Lakini pale Shinyanga, Kishapu kwa Mheshimiwa Mpendazoe, kule tuna hekta 14,870 kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Kule London na nimeona mchango wako Mheshimiwa Chiligati, unahoji kuhusu wachimbaji wadogo. Nataka kutambua hilo na wananchi wajue kwamba unalifuatilia, kule tumetenga hekta 76,600 kwa ajili ya wachimbaji wadogo.
Mheshimiwa Spika, Mheshimiwa Dr. Chegeni na Dr. Limbu mnafahamu vizuri. Kule Mabungasamo, tumetenga hekta 229 kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Nyasenderwa, Musoma Vijijini, kwa Mheshimiwa Mkono, sina hakika kama yuko hapa lakini Waheshimiwa Wabunge wa Mkoa wa Mara wanafahamu, tumetenga kule eneo la hekta 172, Ruwabasi kule Musoma Mjini hekta 429 na kule Matabe Mheshimiwa Magufuli pamoja na Mheshimiwa Mukasa bado tunamalizia zoezi hilo na Wizara ya Maliasili na Utalii. Eneo la Matabe lile kuna hekta zaidi ya 880 kwa ajili ya wachimbaji wadogo.
Mpaka nilishasahau hii topic, wakenya wako sharp sana kwenye issues kama hizi mkuu... Shukrani kwa input yako mkuu..hicho hapo juu ndicho kitakachowafanya Wakenya wakimbilie Tanzania.
..Watanzania nao hawataki kugawana hizi resources na Wakenya.
..discoveries za Oil in Kenya na Uganda zitafaidisha multinational corporations.
..kwa middle class na low class all the action will be in Tanzania, and not any where else in East Africa.
some of you tanzanian forumers on this forum need get on with the program.