Niwashukuru ndugu zangu who have Tanzania at heart , naona wenye mawazo kama yangu ni wengi na nimefaidika na michango yao, hasa history ya ardhi Kenya, ambayo wanaiandika wenyewe, na si sisi. Wasiyotaka kwao, wanataka kuyaleta kwetu, nimeona hilo.
Wakenya wameikosa ardhi kupitia Common Market sasa wanaitafuta kupitia mgongo wa Federation. Nchi jirani za Rwanda na Burundi nazo, Uganda nazo wako nyuma yao, kwani matatizo yao yanafanana. Mimi niko kwenye mchakato mzima wa haya mambo, na niwaondoe wasi wasi, negotiators wetu wako makini, mkiona kiti kimeharibika, mjue ni viongozi, hasa kile kizee, na wengine wa juu na bosi wao, manake wao hamnazo, walishakula hela za kifisadi na familia zao zimeneemeka, mpaka wamezeekea humo, hawajali cha mtanzania wa kawaida maskini, ambaye ndiye mwenye mali zote na ardhi. Wanaweza kutusaliti hawa, hawana uchngu wowote!
Viongozi tulionao sasa hivi hawaaniki, afterall, wametutosa kwenye mambo mengi, kile kizee ki SG nadhani kwanza kinakupewa mlungula na Kenya ndiyo maana kinapiga mayowe kila siku kwa ajili ya full integration ili kituuze kwa wakenya. Wakenya, nawambia patakuwa hapatoshi hapa. Kama mnajua kipigo cha Lukaya, muulizeni Id Amin. Our only saviour is gonna be AK 47 kwa hili la ardhi. Mimi sina tatizo na biashara, lakini wameshasema wenyewe kwamba acha tuwape inchi moja, na watachukuwa maili, hawa ni kuwa nao mach. Kenya kuna kitu kinawawasha sana, wana msukumo wa ajbu kuliko nchi zote jirani, na hii si kwamba eti wanataka biashara, ni kwamba hawa watu hawana ardhi, na wanajua ardhi ni mali kuliko kitu chchote kingine, niko tayari kwenda msituni kwa hili. Nchi inayo-engineer hii fast tracking yote kwenda Federation ni Kenya tu, ona kama Uganda wako kimya, pamoja na kwamba nao wako upamde wao, lakini wana ardhi nzuri, kwa hiyo pressure ni ndogo, na si kwamba ni lazy au siyo aggressive kama hawa wakenya wanayojitapa kila siku. Acha kwa sasa ile N word nisiitumie, Smatta atapata kisingizio, but i reserve it. Nina wasi wasi hii thread inakwenda kufungwa kama mbili za kwanza, maana kama moderator ni mkenya basi, ila tutahama. Nilitaka nianze kuchangia hela yangu, lakini sasa basi. Hivi kama hatuelwani na wakenya kwenye forum wakati hatuonani, je tukionana si kiama. You Kenyans, you are trying to chew what you won't swallow. Mlizoea eti mtanzania ni mtu wa kucheka, ni kama hujamgusa pabaya, tutawakamua mavi safari hii. Mnachezea Simba masharubu nyie, shida zenu zinatokana na mgawanyo mbovu wa ardhi, na hili litawatokea puani.
Na kwa nomasana, jifunze kuheshimu Watanzania, kama sivyo sema uko wapi Tanzania, uone mziki wetu ulivyokuwa mzito!
Na wewe Smatta unayefikiri kuwa watanzania hawaipi pressure Serikali unajidanganya, media inafanya kazi, si mpaka tuuwane kama ya kwenu ya juzi. Wanaofuatilia wanajua, soma Tanzania daima na mengine, msome Ansbert Ngurumo na wengine. But time will tell!