Will Dar face a total blackout in 60 days?

mkuu hilo la utaahira lipo mkuusi ndo maana juzi ngeleja alikuwa na aunt ezekieldodoma wakinywa beer na ku dansi na akina wema sepetu?????mkuu hawa watu ni kama wana laana hivi
Tunakosea sana kuwafanya viongozi wetu ni malaika au wanafanana na Mungu Yesu. Kucheza na kina Wema Sepetu kuna tatizo gani?
 
Wana JF,
Mwezi wa nane ukianza ndio mtajua tatizo la umeme likoje ngojeni kama hamjaandamana ndio mtajua sasa siku hiyo nini maana ya KURA zenu si mlisha zoea kanga na Tshit mkaziambie izo kanaga na Tsht ziwaletee umeme
 
mkuu nakumbuka shida tulizopata after vita ya kagera so i think we are turning back to those days but after shida ni raha mustarehe,after kikwete administration will come dr slaa reign so we will be at world hevean
 
Back
Top Bottom