Will Dar face a total blackout in 60 days?

Will Dar face a total blackout in 60 days?

Now it is official, narudi kijijini. Sababu kubwa ya kukaa hapa mjini ilikua ni hizo facility ila kama kuna congestion trafic jam, body jam, telcom jam, pollution, wizi na vibaka, watu hawana time na sasa hata umeme hamna na joto lote hili nibaki nafanya nini? wacha turudi home. friendly environment, mitandao wa sim na gprs zao kibao, na wana mbinu kibao za kuji entertain AND kusurvive bila umeme (zikiwemo exercices nzuri nzuri). Kweli naenda mie.
 
Alafu kuna kitu ambacho watu hawakiseme sijuhi ni kwanini,
Ila ukweli ni kuwa HAKUNA GESI YA KUWASHA MAJENERATOR HAYO YOTE,sasa hivi Richmond inatoa 75 na sio 100, naamini ni kwa sababu ya gesi hakuna.
 
We are in for it this time.....Mhe. Rais Kikwete uko wapi jamani uingilie kati hili suala???umekaa kimya kama maji ya mtungini au kwa sababu pale magogoni hupati hizi shabra za kukatiwa umeme saa yoyote na kwa muda mrefu??
 
Wakijaribu tuu Tutapanda wote kama FC Barcelona Tutashuka wote na Tutakomaa kati then utaona Kitakachoipata Serikali ya jakaya.
 
As a man, how does Ngeleja sleep at night? And why he thinks he should still head the Ministry of Energy?
 
Nadhani tutashuhudia makubwa zaidi. Ninachokiona mimi
1. Serikali haina hela tangu tutoke kwenye uchanguzi ndiyo maana hawawezi kununua mafuta ya generator.

2. makusanyo ya kodi yameshuka kwa sababu ya umeme na kama kutakuwa hamna umeme sijui hata hii bajeti waliyoipitisha sijui watapata wapi hela maana viwanda na makakpuni yatafunga kazi.

3. Viwanda na makampuni yanayotumia umeme kama ya simu yakifungwa kazi zitaota mbao hivyo hamana ajira. Tutabaki mitaani kupambana na polisi ingawa na wao watakuwa wananjaa tu.

4. Bei ya vitu itakwea na hapo ndo watanzania tutajua kucheza na nyani ccm ni kuvuna mabua.
5. Njaa nayo inainyemerea nchi

Nadhani hapa ndo tutafanya maamuzi sahihi maana tumechezewa na kugeuzwa geuzwa kama chapati vya kutosha sana.

Sidhani kama kutakuwa na haja ya CDM kuhamasisha maandamano tena maana kila mtu atajikuta yuko Taharir bila hata kuhamasishwa.

Ngoja tusubiri hii tamu chungu!

.
 
Mkuu BOSS, mimi sidhani kama tuna laana yoyote toka kwa Mungu bali naamini tuna Viongozi mataahira katika ngazi za juu za uongozi wa nchi yetu. Nasema Viongozi mataahira kwa sababu haingii akilini kabisa kwamba matatizo yote haya ndani ya nchi yetu kila kukicha na kelele zinazopigwa na Watanzania katika kila kona ya nchi yetu yashindwe kutafutiwa uvumbuzi wa kweli kama tungekuwa na Viongozi wenye akili timamu.

Ni mtaahira tu ambao wameshika uongozi wa nchi ndio wanaweza kufanya haya yanayofanywa ndani ya nchi yetu na wao kuamini kabisa kwamba kila kitu kiko shwari kabisa.

Hapa kwenye red, sasa mkuu hapa mataahira ni viongozi au wananchi waliowachagua hao viongozi na wanaoshindwa kuwawajibisha mpaka wanafanya haya yote. Kwani kuna kitu gani wananchi wakiamua kufanya hakitawezekana? Jamaa yangu mmoja alisema hii tanzania bila kutiana vidole machoni hatutakaa tuheshimiane hata kidogo si unaona yaliyotokea kenya, mimi nilimuona jamaa ka mtu wa shari hivi lakini kadili siku zinavyokwenda maneno yake yanaanza kuniingia kichwani.
 
We are in for it this time.....Mhe. Rais Kikwete uko wapi jamani uingilie kati hili suala???umekaa kimya kama maji ya mtungini au kwa sababu pale magogoni hupati hizi shabra za kukatiwa umeme saa yoyote na kwa muda mrefu??

JS, Huyu hahusiki kabisa na hili maana yeye anaamini kabisa kwamba matatizo yetu ya umeme yanasababishwa na kudra za Mungu!!!! hakustahili kabisa kupewa dhamana kubwa kama hiyo ya kutuongoza.
 
Nadhani tutashuhudia makubwa zaidi. Ninachokiona mimi
1. Serikali haina hela tangu tutoke kwenye uchanguzi ndiyo maana hawawezi kununua mafuta ya generator.

2. makusanyo ya kodi yameshuka kwa sababu ya umeme na kama kutakuwa hamna umeme sijui hata hii bajeti waliyoipitisha sijui watapata wapi hela maana viwanda na makakpuni yatafunga kazi.

3. Viwanda na makampuni yanayotumia umeme kama ya simu yakifungwa kazi zitaota mbao hivyo hamana ajira. Tutabaki mitaani kupambana na polisi ingawa na wao watakuwa wananjaa tu.

4. Bei ya vitu itakwea na hapo ndo watanzania tutajua kucheza na nyani ccm ni kuvuna mabua.
5. Njaa nayo inainyemerea nchi

Nadhani hapa ndo tutafanya maamuzi sahihi maana tumechezewa na kugeuzwa geuzwa kama chapati vya kutosha sana.

Sidhani kama kutakuwa na haja ya CDM kuhamasisha maandamano tena maana kila mtu atajikuta yuko Taharir bila hata kuhamasishwa.

Ngoja tusubiri hii tamu chungu!

.

Pale dar Taharir yetu ni ipi? Je ni jangwani, kidongo chekundu au mnazi mmoja?
 
JS, Huyu hahusiki kabisa na hili maana yeye anaamini kabisa kwamba matatizo yetu ya umeme yanasababishwa na kudra za Mungu!!!! hakustahili kabisa kupewa dhamana kubwa kama hiyo ya kutuongoza.

Alishasema hajui kwa nini sisi ni maskini, amerudia juzi kuwa yy sio mawingu.
 
Alishasema hajui kwa nini sisi ni maskini, amerudia juzi kuwa yy sio mawingu.

Kauli zake kama Rais wa nchi kwa kweli zinastaajabisha sana, alipokuwa anaomba "KULA" kamwe asingeweza kutoa kauli kama hiyo.
 
...hope a big n good lesson is on the way for tanzanians to know only to KNOW that theres ONE who is above of ALL! n that should be respected,honored n glorified! if we have to remember the way the URT gov did to the FGBF church n peoples comments on the issue!
 
kazi ipo, watu hawana taabu bizness as usual wanakula kuku chako ni chako
 
Tanzania imeongeza mgao wa umeme na kuufanya kuwa mkali zaidi kutokana na vyanzo vyake katika mabwawa ya umeme kupungua maji limesema shilika la habari la BBC la uingereza.
Mabwawa hayo yamepungua maji kwa kiwango kikubwa kutokana na ukame.

Lakini Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limeahidi maeneo muhimu kama hospitali hayataariwa na mgao huo.
Afrika Mashariki inaripotiwa kuathiriwa na ukame mkali kwa miaka 60 iliyopita.

Watu wapato milioni 10 wanahitaji msaada wa chakula hasa nchini Somalia, Kenya na Ethiopia.
Tanzania inategemea zaidi ya nusu ya vyanzo vyake vya umeme kupitia mabwawa hayo.

Msemaji wa TANESCO Badra Masoud, ameiambia BBC Idhaa ya Kiswahili kuwa upungufu wa mvua ndio chanzo cha matatizo hayo kutokana na mabwawa kushindwa kufanya kazi ipasavyo.

"Kutakuwa na mgao lakini hautakuwa wa saa 24," alisema.
"Baadhi ya watu hawatakuwa na umeme kati ya saa mbili za usiku mpaka saa sita na wengine wakosa kuanzia saa 12 hadi saa tano usiku ( saa za Afrika Mashariki.

"Lakini maeneo ya Hospitali na kwenye pampu za maji hazitaathiriwa," alisema Bi Masoud.
Mabwawa ya ndio chanzo kikubwa cha umeme kwa TANESCO huku gesi na mitambo ya umeme vikchangia kiasi kilichobaki.
Mabwawa hayo yanatarajiwa kuanza kujaa tena msimu wa mvua utakapoanza mwezi Septemba.

CV YA NGELEJA AMBAYE NI WAZIRI WA NISHATI NA MADINI.
2881.png

[TD="class: datalabel2"]ame[/TD]
[TD="class: keydata"]William Ngeleja[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Surname[/TD]
[TD="class: data"]Ngeleja[/TD]

[TD="class: datalabel2"]First Names[/TD]
[TD="class: data"]William Mganga[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Alternate Name[/TD]
[TD="class: data"] [/TD]

[TD="class: datalabel2"]Title[/TD]
[TD="class: data"] [/TD]

[TD="class: datalabel2"]Country of Birth[/TD]
[TD="class: data"] Tanzania [/TD]

[TD="class: tableheader, colspan: 4"]Positions[/TD]

[TD="class: datalabel2"]From[/TD]
[TD="class: datalabel2"]To[/TD]
[TD="class: datalabel2"]Organisation[/TD]
[TD="class: datalabel2"]Position[/TD]

[TD="class: data"]2008[/TD]
[TD="class: data"] [/TD]
[TD="class: data"] Ministry of Energy & Mineral Resources [/TD]
[TD="class: data"]Minister of Energy & Mineral Resources[/TD]

[TD="class: data"]2005[/TD]
[TD="class: data"] [/TD]
[TD="class: data"] Sengerema Constituency [/TD]
[TD="class: data"]Member of Parliament for Sengerema[/TD]

[TD="class: data"]2000[/TD]
[TD="class: data"]2005[/TD]
[TD="class: data"] Vodacom Tanzania [/TD]
[TD="class: data"]Advocate[/TD]

[TD="class: data"]1996[/TD]
[TD="class: data"]1999[/TD]
[TD="class: data"] University of Dar es Salaam [/TD]
[TD="class: data"]Postgraduate Student - LLM Law[/TD]

[TD="class: data"]1995[/TD]
[TD="class: data"]2000[/TD]
[TD="class: data"] PriceWaterhouseCoopers [/TD]
[TD="class: data"]Advocate - PWC Tanzania[/TD]

[TD="class: data"]1994[/TD]
[TD="class: data"]1994[/TD]
[TD="class: data"] Attorney General's Chambers [/TD]
[TD="class: data"]Government Lawyer in the Attorney General's Chamber[/TD]

[TD="class: data"]1991[/TD]
[TD="class: data"]1994[/TD]
[TD="class: data"] University of Dar es Salaam [/TD]
[TD="class: data"]Undergraduate Student - LLB Law[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Date of Birth[/TD]
[TD="class: data"]5 Oct 1967[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Political Affiliation[/TD]
[TD="class: data"] CCM [/TD]

[TD="class: datalabel2"]eMail[/TD]
[TD="class: data"]wngeleja@parliament.go.tz[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Telephone[/TD]
[TD="class: data"]+255 754 710070[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Address[/TD]
[TD="class: data"]PO Box 150, Sengerema[/TD]

[TD="class: datalabel2"]Notes[/TD]
[TD="class: data"] [/TD]
[TABLE="class: lastupdate"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Huyo ndiye Ngeleja na professional yake, je kwanini JK anashindwa kumteua waziri mwenye professional ya MADINI AU UMEME ili
aendane na hii wizara?????
 
Huyo ndiye Ngeleja na professional yake, je kwanini JK anashindwa kumteua waziri mwenye professional ya MADINI AU UMEME ili
aendane na hii wizara?????

Mpumbavu mmoja nchini alisema "...uwaziri hausomewi..." kwa maana unaweza ukaweka mshkaji au hawala ama mwanajeshi mambo yakaenda!
 
kwanini hakumuweka mtu aliyesomea Engineer kuwa waziri wa sheria kama kweli uwaziri wa wizara fulani hauendani na profesional ya mtu aliyosomea??
 
Nimeambiwa na rafiki yangu aliye Ubungo power Plant kuwa watumiaji wa umeme wote walio kwenye gridi ya taifa wapo gizani tangu saa 2 usiku huu. Maeneo mengine vipi?
 
Watanzania tuiingieni Mitaani Tumtoe huyu Kikwete na Serikali yake ya Usanii, Tumeichoka Serikalia ya Kikwete na tulionywa na Nyerere mkachagua Sura. Sasa matokeo yake ndio haya
 
Back
Top Bottom