Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Tunakosea sana kuwafanya viongozi wetu ni malaika au wanafanana na Mungu Yesu. Kucheza na kina Wema Sepetu kuna tatizo gani?mkuu hilo la utaahira lipo mkuusi ndo maana juzi ngeleja alikuwa na aunt ezekieldodoma wakinywa beer na ku dansi na akina wema sepetu?????mkuu hawa watu ni kama wana laana hivi