Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,690 Aug 20, 2013 #61 bily said: dharau hizo sasa mkuu kwa rais wetu mtukutufu slaa. Click to expand... Yaani hiki kizee ndio kirahisi chenu?
bily said: dharau hizo sasa mkuu kwa rais wetu mtukutufu slaa. Click to expand... Yaani hiki kizee ndio kirahisi chenu?
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,690 Aug 20, 2013 #62 frema 120 said: Siasa tufanye za ustarabu, nikikutukania baba yako utajisikiaje..... Fanyeni siasa za kikubwa, wekeaneni heshima, wee ni mtu mzima nakuheshimu sana, umeniuzi sana kutukana baba yangu. Click to expand... Mkuu, Kweli hiki kizee ni baba yako? Kama ndio hivyo basi mshauri astaafu kama age mates wake kina Kingunge na Mzee Malecela...
frema 120 said: Siasa tufanye za ustarabu, nikikutukania baba yako utajisikiaje..... Fanyeni siasa za kikubwa, wekeaneni heshima, wee ni mtu mzima nakuheshimu sana, umeniuzi sana kutukana baba yangu. Click to expand... Mkuu, Kweli hiki kizee ni baba yako? Kama ndio hivyo basi mshauri astaafu kama age mates wake kina Kingunge na Mzee Malecela...
R Rwabugiri JF-Expert Member Joined Jul 10, 2007 Posts 2,775 Reaction score 232 Aug 20, 2013 #63 ZeMarcopolo said: Yaani hiki kizee ndio kirahisi chenu? Click to expand... Ze marcopolo.. tulia mkuu soon utabili hiyo kauli yako ya chenu na kuwa wetu!
ZeMarcopolo said: Yaani hiki kizee ndio kirahisi chenu? Click to expand... Ze marcopolo.. tulia mkuu soon utabili hiyo kauli yako ya chenu na kuwa wetu!