wilaya ya same imesahaulika!

wilaya ya same imesahaulika!

SunStrong

Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
56
Reaction score
3
kwa kweli nafurahi sana ninapoona mabadiliko katika majimbo mbalimbali nchini,
lakini roho inaniuma sana kuona wilaya yangu ya same imesahaulika kabisa.
Viongozi wa juu wa chama na wale wa wilayani hawajafanya jitihada yoyote kuhakikisha walau jimbo moja ccm inaliachia.
Nakumba last election katika jimbo la same magharibi walichaguliwa mgombea ambaye walijua kabisa hatashinda!
Ni kweli wananchi wenyewe ndo wanaamua mabadiliko ila ushawishi wa viongozi katika kuwatoa matongotongo wananchi ni muhimu ili wajue ni kwa nini wanatakiwa kuikataa ccm.
Inaniuma sana....
 
uko sahihi ndugu yangu, ila, nina imani kuwa viongozi wamesikia na watalifanyia hili kazi, na yenyewe itoke kwenye mikono ya C.C.M, Ila ipo siku yote yataisha usijali, freedom is coming tomorrow.
 
Same haina Tofauti na Tabora. Inabidi kazi kubwa ifanyike kuwazindua watazi zangu Wapare.....
 
Nitagombea ubunge kwenye jimbo la same na nitamuondoa david mathayo.
 
kwa kweli nafurahi sana ninapoona mabadiliko katika majimbo mbalimbali nchini,
lakini roho inaniuma sana kuona wilaya yangu ya same imesahaulika kabisa.
Viongozi wa juu wa chama na wale wa wilayani hawajafanya jitihada yoyote kuhakikisha walau jimbo moja ccm inaliachia.
Nakumba last election katika jimbo la same magharibi walichaguliwa mgombea ambaye walijua kabisa hatashinda!
Ni kweli wananchi wenyewe ndo wanaamua mabadiliko ila ushawishi wa viongozi katika kuwatoa matongotongo wananchi ni muhimu ili wajue ni kwa nini wanatakiwa kuikataa ccm.
Inaniuma sana....
Unadhani wapare ni wabahili hadi kwenye kura?
 
thame tweshinjie ni vigumu sana wazazi wetu kuelewa jinsi tulivyonyuma kimaendeleo
 
chagua cdm chagua maendeleo peoples poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer pole sana,mtani nyie bado mpo mwaka 47 na sabaaaaaaaaaaaaaaaa,bado mnafikiri ccm itawaletea maendeleo,wenye cham walishatangulia mbele ya haki waliobaki ni mafisadi wote piga chini hao muone mabadiliko,ukikubali kila unachoambiwa na ccm wanaona huna shida ya maendeleo,lakini mkibadilika watafanya bidii ku "win hearts of the mind" maendeleo mtaanza kuyaona,vingineyo pigeni usingizi mkisubiri kudra za mwenyezi mungu
 
Back
Top Bottom