Wilaya ya Mbogwe bado silabasi za zamani zinatumika.

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
4,102
4,227
  • Katika mambo yanayotia shaka na kukatisha tamaa Waalim wa Mbogwe ni suala la upatikanaji wa taarifa kwa wakati.
Inashangaza sana kuwa ndani ya Mkoa huu wa Geita kuna shule ambazo walishaanza kutumia silabasi mpya lakini kwa Mbogwe hali bado ni gizagiza.
Kinachotia matumaini ni Kikao cha Wakuu wa Shule pamoja na Afisa elimu kilichofanyika leo huenda kikatoa jibu sahihi.
Mungu ibariki Mbogwe.
 
Katika mambo yanayotia shaka na kukatisha tamaa Waalimubwa Mbogwe ni suala la upatikanajibwa taarifa kwa wakati.
Inashangaza sana kuwa ndani ya Mkoa huu wa Geita kuna shule ambazo walishaanza kutumia silabasi mpya lakini kwa Mbogwe hali bado ni gizagiza.
Kinachotia matumaini ni Kikao cha Wakuu wa Shule pamoja na Afisa elimu kilichofanyika leo huenda kikatoa jibu sahihi.
Mungu ibariki Mbogwe.
Najaribu kutafakari elimu yako we we uliyeandika hii post siielewi! Sijui umeandika nini
 
Waache waitumie tu kwani hao waliyonayo mpya kuitumia tu hawajui...
 
Najaribu kutafakari elimu yako we we uliyeandika hii post siielewi! Sijui umeandika nini
Unaona nini kwani hapo? Hata Mimi naishangaa elimu yako kama unakimbilia persona attacks badala ya kuonesha hoja yako na udhaifu uliouona kwenye hoja yangu.
 
Watu wasiopenda kuhoji ili kuelewa na kukimbila kufanya personal attacks huwa ni wajuvi tu n hawana chochote.
 
Unaona nini kwani hapo? Hata Mimi naishangaa elimu yako kama unakimbilia persona attacks badala ya kuonesha hoja yako na udhaifu uliouona kwenye hoja yangu.
Ya zamani ni ya mwaka gani na mpya ni ya mwaka gani!? Kama hiyo mpya hawajapatiwa waache kufundishia ya zamani hadi watakapo Pata mpya!?
 
Za zamani ni zile za 2005 ambapo kuna matoleo ya 2010,Chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
Lakini kuna ambazo nimeona ila hatujaanza kuzitumia za 2016 Chini ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia.
 
Nimefuatilia na majibu ni kwamba uongozi haujapewa taarifa juu ya matumizi ya silabasi mpya ila ukipewa taarifa na maelekezo watawajuza.
 
Back
Top Bottom