Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Mbona hushangai kwa vijiji vya huko kutokuwa na mawasiliano ya simu? Hadi voda wakawakomboe. Hao ndio wahaya
Hivi kukosekana mnara ya mawasiliano ni tatizo la wahaya? Au la Chadema? Kwanini lisaiwe la CCM inayotawala?Mbona hushangai kwa
vijiji vya huko kutokuwa na mawasiliano ya simu? Hadi voda wakawakomboe.
Hao ndio wahaya
Kazi ya kukifanya chama chochote kifahamike kwenye jamii ni kazi ngumu san mbayo inahitaji uwajibikaji mkubwa,namini bado CDM wanaendelea kujipanga watfika tu huko Mkuu 2015 bado sana,na hasa ukizingatia kwamba hiki chama kwa sasa kiko mafuta mabaya na watza wanakikubali.