Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
- Thread starter
-
- #21
Mkuu umewashtua lazima wata take action isije ikawa ukombozi tunauzungumzia mijini mwaka 2015 tukachota aibu tele. Tusiridhike CDM tukaze buti licha ya kwamba serikali inapambana nanyi utafikiri wanapambana na alqaida. Nataka niamini kuwa serikali imekidhoofisha sana CDM hasa kuanzia matukio ya morogoro na iringa. Spidi imepungua sana na kwa hili wamefanikiwa. Ushindani unaokuja wa kugombea urais 2015 ni wa kudhoofisha mikutano ya CDM huko mabogas wa CCM wakiachwa kupeta kuhutubia bila kubughudhiwa. Hi ni sawa na vita ya kushindanisha timu mbili moja na washabiki ikiwa nuruni na nyingine isiyo na washabiki kuwa gizani. Then unawaambia washabiki waamue mshindi ni nani? Its crazy politics

Siyo bukoba tu,tembelea maeneo kama Tabora vijijini,maeneo ya mkoa wa Tanga,pwani na rukwa CDM haifahamiki kabisa. Sioni mabadiliko yakija siku za karibuni,Bora umelielewa hili mkuu.......cha kushangaza hapa anaweza asitokee kiongozi hata mmoja akalisemea hili. Wasipokuwa serious itabidi tuwaache wajifunze kwa vitendo japokuwa mabadiliko yatachelewa.
Tuache kulalamika, tuchukue hatua, kama wewe ni bukoba vijiji chukua jukumu la kujenga chama kwenye wilaya yako! Usisubiri watu wengine hata kama wapo! Utajicheleweshea mabadiliko!
Siyo bukoba tu,tembelea maeneo kama Tabora vijijini,maeneo ya mkoa wa Tanga,pwani na rukwa CDM haifahamiki kabisa. Sioni mabadiliko yakija siku za karibuni,
Huko Bukoba (V) 2010 hatukupata viti vya udiwani kutokana na kuchakachuliwa kwa kura zetu, kutokuwa na tume huru ya uchaguzi na CCM walitumia sana rushwa kwenye uchaguzi wakishirikiana na CUF kutuhujumu..
Kuwa mvumilivu M4C itafika muda si mrefu Sabodo akishatoa tena gawio, na Katibu akishamaliza maswala yake ya ndoa.
Kweli kabisa sijawahi kusikia kiongozi wa juu wa Chadema ametembelea Bukoba pamoja na kwamba Katibu mkuu kaoa Bukoba.Hiyo Movement for Chura siijui. Kuhusu Charity to begin at home ni sawa lakini awashirikishe viongozi wa Kitaifa alionao aje na mpango kamili.
Ni vizuri ukaanza kujifunza siasa kwanza kabla ya kuja kupost humu JF, maana ulichoandika ni zaidi ya utumbo.Kweli kabisa sijawahi kusikia kiongozi wa juu wa Chadema ametembelea Bukoba pamoja na kwamba Katibu mkuu kaoa Bukoba.
Mkuu umesema vema kabisa, Ni maajabu kwa mtu tena mwenye upeo wakuona kasoro tena wilayani kwake halafu anakuja humu JF kudai viongozi wa CHADEMA wa kitaifa waje wilayani kwake kumuanzishia mabadiliko!!Uachotakiwa kufanya wewe ni kufungua tawi hapo Bukoba.Acha woga anzisha tawi kwa rasilimali ulizonazo then omba sopport toka huko juu. Hivi kama kweli tunataka kila kitu aje afanyo DR Slaa AU Mbowe tutafika kweli? Kazi ya kuijenga chama ni yetu wote sio ya viongozi wa kitaifa tuu. Fanya kile unachoweza kufanya thenwaamshe wenzako, la sivyo utaishia kulalamika tuu. PLEASE PLAY YOUR ROLE. SAA YA UKOMBOZI NI SASA.
Mkuu mimi sikuungi mkono katika wito wako wa kutaka viongozi wa CHADEMA waende sehemu kama huko Bukoba vijijini wakaanzishe mkakati wa mabadiliko, wakati wenyeji wenyewe kama huyu mleta mada ameshindwa kuanzisha lolote zaidi ya kuja humu na kulalamika tu.Ujumbe bila shaka umewafikia walengwa ambao ni viongozi wa juu wa Chama kwa hyo usifanye iwe lazima wao waje jukwaani kukupatia mpango mkakati cha msingi ujumbe umeeleweka na sio kwako tuu hata Kongwa Dodoma kuna tatzo hilo lakn tunatumia mbinu mbalimbali kukieneza chama kijulikane kwa wananchi
Mkuu umesema vema kabisa, Ni maajabu kwa mtu tena mwenye upeo wakuona kasoro tena wilayani kwake halafu anakuja humu JF kudai viongozi wa CHADEMA wa kitaifa waje wilayani kwake kumuanzishia mabadiliko!!