Munguwetu Member Joined Dec 13, 2022 Posts 87 Reaction score 80 Jan 5, 2023 #1 Tujue wakulungwa. Hii ya Mwaka 2021
Shobi JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 3,401 Reaction score 4,372 Jan 5, 2023 #2 Haya matokeo ya mwaka huu naona hajawekwa wazi inavyokuwa hata magazetin
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,997 Reaction score 102,837 Jan 5, 2023 #3 Serikali imeamua futa biashara ya mitihani na matokeo. Kuanzia sasa hapatakuwa na rankings za shule au wanafunzi.
Serikali imeamua futa biashara ya mitihani na matokeo. Kuanzia sasa hapatakuwa na rankings za shule au wanafunzi.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,997 Reaction score 102,837 Jan 5, 2023 #4 Shule zimebaki kubandika matokeo nje ya mageti yao
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,504 Reaction score 42,579 Jan 5, 2023 #5 HIMARS said: Shule zimebaki kubandika matokeo nje ya mageti yao Click to expand... Hahahahaha
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 5, 2023 #6 Wamefuta rankings Ndo zinasababisha udanganyifu wa mitihani Kwa mashule Ili kuvuta wateja Nimependa sana
Wamefuta rankings Ndo zinasababisha udanganyifu wa mitihani Kwa mashule Ili kuvuta wateja Nimependa sana
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,426 Reaction score 29,306 Jan 5, 2023 #7 HIMARS said: Shule zimebaki kubandika matokeo nje ya mageti yao Click to expand...
Munguwetu Member Joined Dec 13, 2022 Posts 87 Reaction score 80 Jan 5, 2023 Thread starter #8 reymage said: Wamefuta rankings Ndo zinasababisha udanganyifu wa mitihani Kwa mashule Ili kuvuta wateja Nimependa sana Click to expand... Waxinguaji
reymage said: Wamefuta rankings Ndo zinasababisha udanganyifu wa mitihani Kwa mashule Ili kuvuta wateja Nimependa sana Click to expand... Waxinguaji
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,997 Reaction score 102,837 Jan 5, 2023 #9 Lusungo said: Hahahahaha Click to expand... Eeeh hawana la kutudanganya. Ila kuna wazazi ni wajinga sana, wao ndo wanapenda mfumo wa matangazo.
Lusungo said: Hahahahaha Click to expand... Eeeh hawana la kutudanganya. Ila kuna wazazi ni wajinga sana, wao ndo wanapenda mfumo wa matangazo.
Munguwetu Member Joined Dec 13, 2022 Posts 87 Reaction score 80 Jan 5, 2023 Thread starter #10 HIMARS said: Shule zimebaki kubandika matokeo nje ya mageti yao Click to expand... Na kwenye magari Yao. Nilicheka kukuta gari limeandika imeshika nafasi ya 1 kimkoa
HIMARS said: Shule zimebaki kubandika matokeo nje ya mageti yao Click to expand... Na kwenye magari Yao. Nilicheka kukuta gari limeandika imeshika nafasi ya 1 kimkoa
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,568 Reaction score 176,781 Jan 5, 2023 #11 HIMARS said: Serikali imeamua futa biashara ya mitihani na matokeo. Kuanzia sasa hapatakuwa na rankings za shule au wanafunzi. Click to expand... Oooh! Safi sana.
HIMARS said: Serikali imeamua futa biashara ya mitihani na matokeo. Kuanzia sasa hapatakuwa na rankings za shule au wanafunzi. Click to expand... Oooh! Safi sana.