Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,963
Ni sawa tu na Magu kunyanganywa Kisesa . Inapoteza zaidiMisungwi kunyang'anywa Usagara ni kuiua kabisa ila yote heri Usagara haipaswi kubaki Misungwi tena. Its mordenized than Misungwi itself.
Ukitokea Arusha jiji, unaenda Arusha DC, Arumeru, Siha, Hai, moshi DC, moshi mjini, mwanga, same! Kuna Km ngapi hapo? Acheni roho za korosho!Sasa huko kila baada ya 45km itakua wilaya sasa
Kweli ndugu yangu.Kitendo tu cha kuiondoa Lamadi na kuipeleka mkoa mpya wa Simiyu kilikuwa ni mauaji ya kikatili kwa Wilaya ya Magu. Sasa hii ya kuinyofoa Kisesa kutoka Magu ndo balaa zaidi. Magu kwisha kabisa!Wilaya ya Magu imenyang'anywa chanzo cha mapato! Itapumulia mashine!
Unaweza kutoka Kayenze hadi Kisesa barabara ya vumbi kisha ukatoka Kisesa hadi Usagara kwa lami haukanyagi Nyamaganammmh kayenze ipo igombe kutoka igombe mpaka misungwi unapita nyamagana mbn Nyamagana haijaguswa?
Kayenze ipo ilemela Ina njia mbili ya igombe haitumiki Sana badala yake inayotumika kwa Sana hivi Sasa ni njia ya kisesa ambapo wanapiti centre ya Sese ndio kayenze. Daladala ni elfu mbili tu kutoka stendi ya kisesa.mmmh kayenze ipo igombe kutoka igombe mpaka misungwi unapita nyamagana mbn Nyamagana haijaguswa?
hivi Igoma si Nyamagana,ni mbali sana na kisesa ila nyamhongolo kuchukuliwa ni pigo Kwa ilemelaCjaona kata yangu ya igoma
Imasemekana makao makuu yatakuwa igoma,maeneo ya kishiri huko na ujenz ushaanzahivi Igoma si Nyamagana,ni mbali sana na kisesa ila nyamhongolo kuchukuliwa ni pigo Kwa ilemela
Majiji makubwa Duniani ili yaendelee kukua ni lazima kumega maeneo ya jirani /suburban ili nayo yawe sehemu ya hadhi ya Majiji hayo.Misungwi kunyang'anywa Usagara ni kuiua kabisa ila yote heri Usagara haipaswi kubaki Misungwi tena. Its mordenized than Misungwi itself.
Makao Makuu yatakua Fera Patakapokua na Bandari ya SGRKuipata Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara Imefanyika kama ifuatavyo.
Wilaya ya Misungwi imetoa Kata 04 yaani
1. Kata ya Idetemya
2. Kata ya Usagara
3. Kata ya Fella
4. Kata ya Kanyerere.
Wilaya ya Magu imetoa yaani
1. Kata ya Kisesa
2. Kata ya Bujora
3. Kata ya Bukandwe
4. Kata ya Bujashi
5. Kata ya Mwamanga
6. Kata ya Kongoro
Wilaya ya Ilemela imetoa kata 03 yaani
1. Kata ya Nyamhongolo
2. Kata ya Sangabuye
3. Kata ya Kayenze
Hizo ndizo kata zitakazo unda Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara.
here itakuwa kishirii ya Kulee juu sidhani kama ni hapo sent a au nako pamekuwa kisesaImasemekana makao makuu yatakuwa igoma,maeneo ya kishiri huko na ujenz ushaanza
Makao makuu yawe fela, mtu wa kayenze akitaka kwenda wilayani safari yake ni kama anaenda shy.Makao Makuu yatakua Fera Patakapokua na Bandari ya SGR
kayenze ni kama wanaishi kwenye jamhuri yao tulifanyiwa Fujoo kukimbilia police station kituo kina askari wawili akiwepo mkuu Wa kituoMakao makuu yawe fela, mtu wa kayenze akitaka kwenda wilayani safari yake ni kama anaenda shy.
Makao makuu yako likely kuwa kisesa
Mkuu umeona kishiri au igoma kwenye kwenye wilaya mpya?Imasemekana makao makuu yatakuwa igoma,maeneo ya kishiri huko na ujenz ushaanza
Kuna weigh bridge piaSasa usagara ina nini zaidi ya round about na kastand kalee!! Sema pana watu watu thats all
Igoma itaunganishwa kuunda wilaya ya kisesa,alieleta uzi hana taarifa kamiliMkuu umeona kishiri au igoma kwenye kwenye wilaya mpya?
Hakuna eneo hata moja kutoka nyamagana lililomegwa.
Yaan mwisho wa wilaya ya kisesa unaishia igoma sehm moja wanaita ndama,kuelekea nyakato huko itakuwa nyamagamanahere itakuwa kishirii ya Kulee juu sidhani kama ni hapo sent a au nako pamekuwa kisesa
duuuh had Ilee bar ya city centre itakuwa ni ilemela siyo,mbona wamejimegea kwenye mapatoYaan mwisho wa wilaya ya kisesa unaishia igoma sehm moja wanaita ndama,kuelekea nyakato huko itakuwa nyamagamana
Ndy mkuu,kuna nyingine inaitwa makumbusho ndo itakuwa mpakan ikabxaduuuh had Ilee bar ya city centre itakuwa ni ilemela siyo,mbona wamejimegea kwenye mapato