Kuipata Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara Imefanyika kama ifuatavyo.
Wilaya ya Misungwi imetoa Kata 04 yaani
1. Kata ya Idetemya
2. Kata ya Usagara
3. Kata ya Fella
4. Kata ya Kanyerere.
Wilaya ya Magu imetoa yaani
1. Kata ya Kisesa
2. Kata ya Bujora
3. Kata ya Bukandwe
4. Kata ya Bujashi
5. Kata ya Mwamanga
6. Kata ya Kongoro
Wilaya ya Ilemela imetoa kata 03 yaani
1. Kata ya Nyamhongolo
2. Kata ya Sangabuye
3. Kata ya Kayenze
Hizo ndizo kata zitakazo unda Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara.
Imeanza lini,, imetangazwa wapi,,
Dukuduku langu ni kuhusu stand mpya ya mabasi Nyamhongoro ambapo halmashauri ya Ilemela imeweka mabilioni pale,, itakuwaje,,?
Inaanza lini
Aliahidi bwana kuba wakati campaign akiwa njiani kuingia jijini Mwz akitokea Musoma .Tetesi, na ukwel ndani yake.
Anyway. Jiji la mwanza linastahili kuongezewa wilaya ya nneSasa huko kila baada ya 45km itakua wilaya sasa
Tetesi, na ukwel ndani yake.
Kwa hiyo wameunda na jimbo jipya? Na kwa nini waliite Usagala na siyo Kisesa?Kuipata Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara Imefanyika kama ifuatavyo.
Wilaya ya Misungwi imetoa Kata 04 yaani
1. Kata ya Idetemya
2. Kata ya Usagara
3. Kata ya Fella
4. Kata ya Kanyerere.
Wilaya ya Magu imetoa yaani
1. Kata ya Kisesa
2. Kata ya Bujora
3. Kata ya Bukandwe
4. Kata ya Bujashi
5. Kata ya Mwamanga
6. Kata ya Kongoro
Wilaya ya Ilemela imetoa kata 03 yaani
1. Kata ya Nyamhongolo
2. Kata ya Sangabuye
3. Kata ya Kayenze
Hizo ndizo kata zitakazo unda Wilaya ya Kisesa Jimbo la Usagara.
Wilaya ya Magu imenyang'anywa chanzo cha mapato! Itapumulia mashine!Kwa maana hiyo Kisesa sio Magu tena