Wilaya gani inaongoza kwa uchawi Tanzania?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Inasadikika Wilaya ya Newala ndiyo babalao (flagship) kwa uchawi JMT kiasi kwamba hata viongozi wa kitaifa wanapaogopa kufanya ziara.

Inaelezwa kwamba katika safu ya uongozi wa JMT ni marais wa awamu za 5 na 6 ndiyo wamethubutu kuizuru Newala.

Rais wa awamu ya 6 alimudu kwa kuwapa ahadi nono ya bei mpya nzuri ya korosho.

Tupe ufahamu wako Wilaya unayojuwa ni kali kwa uchawi kuliko zingine JMT.
 
Back
Top Bottom