Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

Status
Not open for further replies.

Profesy

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
385
13
Cable Viewer

Fuata link hiyo hapo juu

================
Inayoshtua ni hii:


Lakini Ikulu imetoa ufafanuzi huu: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nies-president-bribe-claims-in-u-s-cable.html
 
I am going through each and every line with a "professorial eye"... for my country. I urge every member to do the same.
 
Reactions: FJM
Haya bwana...Tz yetu hiyo..!!

 
Naona haka kaNokia ninayoi2mia imekuwa na kizunguzungu ngoja kesho nivamie ktk mtandao mkubwa maana cjaona ki2 hapa
 
.

Source: Hapa
 
Nini cha ajabu katika hayo? Huwa mnakosa vya kubandika?

Cha ajabu ni kuwa sasa mnaanza kuumbuka kwani ukweli unakuwa hadharani. Uchaguzi wa mwaka 2005 ni kambi ya JK iliyofanya uharamia wa kumchafua Dr SAS. Sijui mtajificha wapi kama jamaa anavyozungumza hapa:-

 

Jamaa waliishamstukia kwamba ni mzee wa kuchekacheka toka mwanzo, hii ni siku 120 toka achukue madaraka.
 
"Andrew McAlister, the Canadian High Commissioner to Tanzania, noted during Sharer's IMF briefing that growth in the banking sector had been impressive in 2006, but still only 8 percent of Tanzanians have bank accounts."
This is shocking !!! Nafikiri sasa hivi ni asilimia 10 kama sikosei kwa data za East African la last week. I can be corrected.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…