wiki ya nenda kwa usalama

wiki ya nenda kwa usalama

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,154
Reaction score
64,491
562004_271535766290078_1119232520_n.jpg

mia
 
Boda boda walindwe ktk kampeni hii,wafuate sheria za barabarani la sivyo hili taifa litakuwa taifa la walemavu. Hivi ni kwa nini serikali imelifumbia macho suala hili? wiki hii tupate takwimu za maafa yaliyowapata boda boda kwa mwaka huu.
 
Mkuu tushangumza kwamba tusitoe habari za nenda kwa usalama kwa siku 40 tangia tar 2 mwezi huu.
 
Inawezekana kabisa akajivisha gubigubi na kutoboa kisado
 
Back
Top Bottom