Wiki ya Maji, Ufisadi mwingine

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Im sure wakijiandaa na hii so called wiki ya maji watakuwa na bajeti si chini ya milioni 50.

Maana itabadidi watengezemabango, Tshirts , per diems, mafuta ya gari,vipindi vya redio kutuambia tusinywe maji machafu as if sisi ni wajinga hivyo tunahitaji kukumbushwa namna ya kutumia maji

hiyo 50 milionin ni estimate tuu
 
ni bora wangesema wiki ya mkojo maana kila Mtanzania anaujua, anao na humtoka angalau mara moja kwa siku!!!
 
Watz wanapenda maadhimisho!! Ukimwambia afisa wa serikali atengeneze mpango kazi wa mwaka ananza na maadhimisho yote, semina, safari, posho, consultancy,....
 
Hakuna lolote hapo wiki ya maji ni huko mijini kwa kuvaa t-shirts, vijijni bado watu wanahara, magonjwa ya ngozi, kila kukicha ,hakuna maji safi na salama. :hatari::hatari:
 
Back
Top Bottom