Wiki ya kishindo cha JPM inaanza Desemba 7

nyakenda kweli December 7 imeanza na kishindo kikuu.
 
Last edited by a moderator:
Huelewi wewe tu zero brain, sisi tumesharudi nyumbani, Tanzania kwanza, Magufuli nahodha wetu ni mchakamchaka tu...
#HapaKaziTu!
 

Urojo? Porojo?
Wewe unafikiri mambo yote yatatekelezwa siku unayotaka wewe?? Vuta subra Magufuli for Changes...
Watanyooka tu...
Viva Magufuli, viva Tz.....
#HapaKaziTu!
 
Kamanda mbona umemsahau kinara wa Richmond,tunalipa Tshs.milioni 250 kwa siku mpaka kiama kwa ajili yake

Unamjua kinara wa richmond lakini au unaropokwa na kutokwa povu ovyo😎
 
Nimekukubali,nimeshackia kupitia kwa pm mkm wamefanya mambo.cjui na kesho wanapiga wapi kolabo.watanyooka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…