Wiki ya kishindo cha JPM inaanza Desemba 7


Na wale wa mboga za 10m??
 


Life is too short to waste time hating anyone.

lovely!
 
Braza usijifanye unanijua sana hii nchi,,,kaa utulie usubiri uone hii miaka 5 atawafanyaje,,mkwere aliuza vitalu vya mbuga ndio,,,ww ukiwa raisi unadhani utapambana na matajiri wa Falme za kiarab kichwakichwa,those things are dead n gone,,,kila kitab na zama zake,,,
 
Tih Tih Tih.........nipo poa sana........tunazidi kutishiwa nyau kila siku hapa........

kweli asee, naona watu washaridhika humu!
...Me nataka katiba ya Warioba na kufumua mikataba ya gesi na wachina + ya madini, asisahau na majizi yaliyoko kune chama lake hilo na waua tembo !

Akifanya hayo kura yangu nampa 2020 asubuhi na mapema.
 
Kamanda mbona umemsahau kinara wa Richmond,tunalipa Tshs.milioni 250 kwa siku mpaka kiama kwa ajili yake
 
Magufuli endelea vivyo hivyo bila Baraza la Mawaziri. Iwapo utachagua Baraza la mawaziri kwanza lipeleke jando uwafunde wajue maana ya uwaziri katika serikali yako. Semina elekezi ni upumbavu wa mkwere na hazikutusaidia. Zaidi sana zimezalisha mafisadi na ma Vasco DA Gama akiwemo mkwere mwenyewe. Nchi ikafa kihuni.
 

Ata usipomkubali tunaomkubali ni wengi tunatosha.
 
ndugu yangu punguza mihemuko haya unayoyadai naamini atayatolea ufumbuzi ni mipangilio yake kaanza na TRA na TPA tumpe muda japo hata mimi nilipenda aanze na capacity charge ili wananchi tupate nafuu gharama za umeme kwa unit
 

Iv yule ndugu yko alie olewa kasha rudi juzi nilikuona sakina dada umenona sn kesho ntapita tena hahahahah mic u ..
 
atuonyeshe mfano japo na kwa viongozi kadhaa wa ngazi za juu wa serikali iliyopita maana nao walivuna kwel, sasa akiwakalia kimya tutaona kama anawaonea hawa wenye nguvu ndogo
 

Nimetafuta kitufe cha like nimekosa. Labda uchukue hii
 
Iv hua mnalazimishwa kuelewa ee,,,it your choice sweethert
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…